Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unayosema ni kweli japo umemkandia Beno tu... vp kuhusu timu kutolipa wachezaji wake stahiki zake?.., Unawaambiaje hao viongozi na timu kwa ujumla.Uwezo anao...hata Kindoki anao uwezo...ni afadhali hao kuliko huyo msaliti Beno...hujui madhara atakayoleta kwenye timu...hivi unadhani wachezaji wenzake wanampenda huyo Beno..fanya utafiti uone...akirudi wanaweza wakafanya makusudi ili afungwe mabao mengi kuondoa kiburi chake...mabeki wanaweza wakaaamua kumfungisha makusudi..
Unayosema ni kweli japo umemkandia Beno tu... vp kuhusu timu kutolipa wachezaji wake stahiki zake?.., Unawaambiaje hao viongozi na timu kwa ujumla.
Hamna ubavu wa kumkataa Beno Kakolanya.
Taja timu moja hapa bongo ambayo timu ikifanya vizuri wanakuunga mkono na ikianza kufanya vibaya wanakuunga mkono?!Mwinyi Zahera halijui soka la Tanzania viongozi na mashabiki kwa Sasa watamuunga mkono kwasababu Yanga wanapata matokeo Kila msimamo wake ataonekana kocha Bora.
Siku Yanga watakapo Anza kupoteza mechi hata amini atakachokiona watamgeuka pale jangwani na watamfurusha na viboko wakiongoza na mzee Akilimali. Simba na Yanga hazijui vizuri huyu.
Unamuacha kakolanya unategemea Kabwili hadi mwisho wa msimu?
Mkimuacha Beno nitaamini unayoyasema.Ndiyo imeishakuwa sasa. Kumbuka Yanga hata timu nzima ikimisbehave tunapiga wrote chini, tunaanza upya
Kwa viongozi nako kuna matatizo makubwa...nadhani uongozi huu una matatizo kuhusu uongozi..hawana weledi..baadhi ni wapenda sifa...ni dhaifu baadhi yao..ndiyo maana Zahera anajitokeza kuwa kama msemaji wa klabu...Zahera yuko sahihi lakini kwa politics za mpira wa nchi hii,...kocha anapata umaarufu kuliko viongozi...ni lazima wapo viongozi wanaona wivu kuhusu kuongezeka kwa umaarufu wa Zahera..viongozi hao wangependa wao ndio watambuliwe kuwa wana mchango mkubwa wa ushindi wa timu kwa sasa na si saikolojia ya Zahera kwa wachezaji...niliwahi kumsikia kiongozi mmoja dogo akisema 'mimi nasajili kwa umakini' baadala ya kusema 'sisi' Yanga tunasajili kwa umakini yeye anasema 'mimi' nasajili kwa umakini...yaani kiongozi huyo 'dogo' bado ni mchanga kwa uongozi, anatanguliza sifa kwake binafsi baadala ya klabu ...tubiri tuone lakini uongozi wa sasa wa Yanga ni dhaifu.
Unatomaswa makalio na wewe unasema hewala bwana nisije kufa njaa? Nimeupenda msimamo wa kocha hata kama atatoa mcgezaji uwanjani aende akadake ni sawa. Yanga ni zaidi ya mchezaji mmoja!Sina tatizo na Beno kutokurudi Yanga shida je Nani anaziba nafasi yake?
Unaleta kiburi wakati njaa inauma na msosi unauona
Zahera ana mishahara miwili.. CONGO na YANGA na wala hadai analipwa
Angetulia au kumsaidia BENO si hasira.
Msaliti tena... kumbe amekiuka makubaliano.?Amsaidie vipi msaliti!!!???
Ni kweli Yanga ni zaidi ya Beno ila ujue mpira ni maisha yake.Unatomaswa makalio na wewe unasema hewala bwana nisije kufa njaa? Nimeupenda msimamo wa kocha hata kama atatoa mcgezaji uwanjani aende akadake ni sawa. Yanga ni zaidi ya mchezaji mmoja!
Msaliti tena... kumbe amekiuka makubaliano.?
vp Beno angekuwa ni baba yako au kaka anacheza yanga halafu hana kitu mfukoni, daily anakwambia hana kitu.
Mbona haki ya mchezaji unaikwepa au hujui ile ni kazi
Acha kuleta utetezi usio na mantiki kwenye hoja ya msingi...hoja iliyopo ni kuwa Kakolanya amegoma kucheza kwa kudhani kuwa anaikomoa Yanga kwa kuwa yeye (kwa mawazo yake ni kipa bora) na kwamba bila yeye, yanga itafungwa...Ni msaliti mkubwa...siyo yeye tu anayedai fedha Yanga...wapo wengine wanadai lakini wameamua waitumikie klabu katika mazingira hayo...Yeye hataki na ameshawishiwa agome...Yaani watu wapo vitani askari mmoja kwa kuwa hajalipwa fedha anaamua kugoma kwenda mstari wa mbele ...askari kama huyo anapelekwa court marshal na ikibidi anapigwa risasi...Beno 'anapigwa risasi; kwa kuondolewa kwenye timu...Acha kuleta mifano ya baba na au kaka kwenye hoja za msingi...msaliti ni msaliti tu...Mfanyakazi hajalipwa madai yake hawezi kuacha kwenda kazini...Na mtu makini hawezi kumruhusu Beno arudi kambini kwani ataleta mgawanyiko kwenye timu, na inawezekana wakaamua kucheza chini ya kiwango ili Beno afungwe.
Hiyo ndo shida.Kabwili atakapokuwa majeruhi, hakutakuwa na mbadala zaidi ya Kindoki