Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Nahodha mpya wa Yanga SC ni Ibrahim Ajib mara baada ya Kelvin Yondani kuvuliwa kitambaa hicho kufuatia matukio yake ya utovu wa nidhamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nawwWanaotokaga simba ndio huwa manahodha huko.
Hata Kanavalo alitokea simba? Bora yanga, Boko alipewa unahodha kwa mikia ndani ya wiki 2 tangu ajiunge!Wanaotokaga simba ndio huwa manahodha huko.