Mwinyi Zahera ana nini hasa cha special hadi atumike kama reference?

Latvia

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
629
Reaction score
4,512
Nimekuwa nikifatilia vipindi mbali mbali vya habari za michezo. Wahandishi wengi wa habari za michezo wanapenda kumuhoji Mwinyi Zahera kuhusu habari za Yanga.

Zahera amehojiwa kuhusu tukio la jana "MWANANCHI DAY"
Amehojiwa kuhusu usajili wa Yanga.
Amehojiwa kuhusu perfomance ya Yanga mechi ya jana.
Mbona makocha wengine waliopita Yanga hawahojiwi.

Je, Mwinyi Zahera ana nini hasa cha special hadi atumike kama reference wakati alikuwa kocha muda mrefu umepita?
 
Kwanza tunatabia ya kutukuza walimu kutoka nje.pili Zahera yupo sana bongo ni rahisi kumwita kuzungumza nae.
 
Nimekuwa nikifatilia vipindi mbali mbali vya habari za michezo. Wahandishi wengi wa habari za michezo wanapenda kumuhoji Mwinyi Zahera kuhusu habari za Yanga.

Zahera amehojiwa kuhusu tukio la jana "MWANANCHI DAY"
Amehojiwa kuhusu usajili wa Yanga.
Amehojiwa kuhusu perfomance ya Yanga mechi ya jana.
Mbona makocha wengine waliopita Yanga hawahojiwi.

Je! Mwinyi Zahera ana nini hasa cha special hadi atumike kama reference wakati alikuwa kocha muda mrefu umepita?
Kwaiyo wewe ulitaka wakuhoji wewe? Mbona mnahangaika sana kuokoteza visababu vya ovyo ovyo, alivyohojiwa umepungukiwa nini au umeongezewa nini?
 
Kwani kumrekebisha mtu bila kumkashifu au kumtukana unashindwa?

Sio kwamba wanakosea kuandika, wanafanya fasheni kuongeza 'h' pasipostahili kuwepo hiyo herufi.
unakuta mtu anaandika

"baada ya hapo hakarudi"
"Hamani ya bwana iwe nanyi"
"Hamepata mshtuko"

Unadhani wanakosea?? Wanafanya kama fasheni..af unakuta anaeandika hivyo ni mwanaume!!!
 
Kweli?? mi nachojua ni ile hali ya mtu kushindwa kutofautisha mfano wale wa R na L
 
Kum.a la mamako upande wa kizazi.
Nina uhakika tena wa 100% kuwa Wewe ni Simba SC Mwenzangu ila kwa Matusi haya umejiaibisha na umetuaibisha wana Simba SC wote.

Nimesikitika mno kwa haya Matusi yako.
 
Nimekuwa nikifatilia vipindi mbali mbali vya habari za michezo. Wahandishi wengi wa habari za michezo wanapenda kumuhoji Mwinyi Zahera kuhusu habari za Yanga.

Zahera amehojiwa kuhusu tukio la jana "MWANANCHI DAY"
Amehojiwa kuhusu usajili wa Yanga.
Amehojiwa kuhusu perfomance ya Yanga mechi ya jana.
Mbona makocha wengine waliopita Yanga hawahojiwi.

Je! Mwinyi Zahera ana nini hasa cha special hadi atumike kama reference wakati alikuwa kocha muda mrefu umepita?
Wahandishi ndio watu wa namna gani?
 
Ulitaka ahojiwe KAPUMBu jinsi alivyowalainisha na kuwapiga bao?
 
Nimekuwa nikifatilia vipindi mbali mbali vya habari za michezo. Wahandishi wengi wa habari za michezo wanapenda kumuhoji Mwinyi Zahera kuhusu habari za Yanga.

Zahera amehojiwa kuhusu tukio la jana "MWANANCHI DAY"
Amehojiwa kuhusu usajili wa Yanga.
Amehojiwa kuhusu perfomance ya Yanga mechi ya jana.
Mbona makocha wengine waliopita Yanga hawahojiwi.

Je! Mwinyi Zahera ana nini hasa cha special hadi atumike kama reference wakati alikuwa kocha muda mrefu umepita?
Wahandishi
Waandishi
Wahandisi
 
Back
Top Bottom