Mwinyi Zahera anakuwa mjuaji mpaka anaboa

Huyu kocha anaropoka sana,nadhani kasahau kwamba Kazi yake ni kufundisha mpira,
Kila siku anatoa tuhuma nzito nzito,
Nadhani ni muda muafaka sasa wa Mamlaka zimtake athibitishe tuhuma anazotoa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kupanic ni kubaya...unaweza kuongea vitu visivyo vya hadhi yako
 
Manara saizi ya vyura uko wapi? Weka kati Huyu zahera aache kulopoka ovyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…