Mwinyi Zahera awapa offer waandishi wa habari za mchezo

Mbumbumbu hiyo achana nayo!
 
Yaani una maanisha msosi au Bahasha? Maana wandishi nao kwa bahasha..hawajambo!
wakija kwenye taasisi yako ukiwa hotoi bahasha cha moto utakiona, watatumia bunduki ya ncha yao ya kalamu mpaka ukome
 
Tunahitaji game kama 12 tutangazwe mabingwa mkuu jambo ambalo ni possible kutokea bila kuwa hata na PhD ya utabiri
Mkuu hizo game 12 mtakutana na wanaopigana wasishuke daraja na wale wanaouhitaji ubingwa bila kuwasahau wataka kulinda heshma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…