kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Hahha sawa wa upande wa pili Matopeni aka Mikia FC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahha sawa wa upande wa pili Matopeni aka Mikia FC
Mbumbumbu hiyo achana nayo!Kwani si ndiyo tafsiri ya aliyosema kocha? Amesema wanaongoza Ligi wakiwa wameshinda mechi 16, au amesema wameshashinda/watashinda zote? Au amesema tayari ushindi huo umeshawapa ubingwa? Au ulitaka akufurahishe kwa kusema timu yake inaburura mkia hata kama unajua siyo kweli?
Huyo ni mmiliki mwenza wa kampuni ya Microsoft.Hivi huyu jamaa anapiga mishe gani mbali na ukocha?
Hahha sawa wa upande wa pili Matopeni aka Mikia FC
Kalye imana!
Kongo kama kocha msaidizi analipwa million 40 pesa ya Tz, Pia inasemekana anabiashara piaHivi huyu jamaa anapiga mishe gani mbali na ukocha?
Katoka Ulaya kawapa wachezaji jiwe na nusu kila mmoja..jamaa kacheza mpira France kafundisha Jupiter league ya Belgium anayocheza Samatta wakati beberu was Mikia ni Mbelgiji hajawahi kufundisha Jupiter leagueMatusi ya mini mjomba?
Wamechanganyikiwa mkuu maanaHahha sawa wa upande wa pili Matopeni aka Mikia FC
Mbutembute wameanza kuhonga waandishi...ee!
Mikia bhana mbona mnateseka? Hela hatuna sasa tunanunuaje mechi? Nanyie kama vp tuuzieni nanyie game ijayo
Kweli.Ni kama wameshatawazwa ubingwa vile
Tunahitaji game kama 12 tutangazwe mabingwa mkuu jambo ambalo ni possible kutokea bila kuwa hata na PhD ya utabiriKweli.Ni kama wameshatawazwa ubingwa vile
wakija kwenye taasisi yako ukiwa hotoi bahasha cha moto utakiona, watatumia bunduki ya ncha yao ya kalamu mpaka ukomeYaani una maanisha msosi au Bahasha? Maana wandishi nao kwa bahasha..hawajambo!
Mkuu hizo game 12 mtakutana na wanaopigana wasishuke daraja na wale wanaouhitaji ubingwa bila kuwasahau wataka kulinda heshma.Tunahitaji game kama 12 tutangazwe mabingwa mkuu jambo ambalo ni possible kutokea bila kuwa hata na PhD ya utabiri
Teh! Teh! Teh!
Mbona ili kama ni tusi baya vile?
Mwanamieleka na mpira wapi na wapiKatoka Ulaya kawapa wachezaji jiwe na nusu kila mmoja..jamaa kacheza mpira France kafundisha Jupiter league ya Belgium anayocheza Samatta wakati beberu was Mikia ni Mbelgiji hajawahi kufundisha Jupiter league