Mwinyi Zahera awapa offer waandishi wa habari za mchezo

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Kupitia press conference iliyofanyika makao makuu ya klabu ya yanga leo hii kocha mkuu Mwinyi Zahera, ametoa ofa ya chakula cha mchana kwa waandishi wote wa habari za michezo walio hudhuria mkutano huo.
.
.
Kocha zahera mbali na yote aliyozungunza kwenye mkutano huo amesema waandishi wa habari za michezo Tanzania nimoja ya watu waliofanya nae kazi vizuri kwa mwaka 2018.
.
.
"Leo ni siku ya mwisho ya mwaka 2018 kwasababu hiyo naomba kushukuru watu wote waliofanya kazi nasisi vizuri kama yanga mkiwemo waanshishi wa habari.
.
.
"Tunaenda kuanza mwaka 2019 kama Yanga tukiwa tunaongoza ligi yote hii nikwasababu ya Wachezaji wangu ambao licha ya matatizo yote tuliyonayo wao wameyageuza kuwa furaha kwao na kuwapa furaha mashabiki. kwa kuendelea kushinda mechi zetu mpaka sasa tumeshinda 16 nawashukusru sana wachezaji wangu.
.
.
"Salamu zangu zingine za mwaka mpya ziende kwa mashabiki wa yanga, hawa watu ni hatari sana tunawashukuru sana. wako nasisi kila sehemu amemaliza kwa kusema hivyo..!!
 
Yaani una maanisha msosi au Bahasha? Maana wandishi nao kwa bahasha..hawajambo!
 
Mbutembute wameanza kuhonga waandishi...ee!
 
Sawa..... Ligi bado mbichi sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani si ndiyo tafsiri ya aliyosema kocha? Amesema wanaongoza Ligi wakiwa wameshinda mechi 16, au amesema wameshashinda/watashinda zote? Au amesema tayari ushindi huo umeshawapa ubingwa? Au ulitaka akufurahishe kwa kusema timu yake inaburura mkia hata kama unajua siyo kweli?
 
Hiyo ni kwa mujibu wa tafsiri yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani si ndiyo tafsiri ya aliyosema kocha? Amesema wanaongoza Ligi wakiwa wameshinda mechi 16, au amesema wameshashinda/watashinda zote? Au amesema tayari ushindi huo umeshawapa ubingwa? Au ulitaka akufurahishe kwa kusema timu yake inaburura mkia hata kama unajua siyo kweli?
Hahahahaha yaani umepa jibu zuri sana huyo mburula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia press conference iliyofanyika makao makuu ya klabu ya yanga leo hii kocha mkuu Mwinyi Zahera, ametoa ofa ya chakula cha mchana kwa waandishi wote wa habari za michezo walio hudhuria mkutano huo.
.
.
Kocha zahera mbali na yote aliyozungunza kwenye mkutano huo amesema waandishi wa habari za michezo Tanzania nimoja ya watu waliofanya nae kazi vizuri kwa mwaka 2018.
.
.
"Leo ni siku ya mwisho ya mwaka 2018 kwasababu hiyo naomba kushukuru watu wote waliofanya kazi nasisi vizuri kama yanga mkiwemo waanshishi wa habari.
.
.
"Tunaenda kuanza mwaka 2019 kama Yanga tukiwa tunaongoza ligi yote hii nikwasababu ya Wachezaji wangu ambao licha ya matatizo yote tuliyonayo wao wameyageuza kuwa furaha kwao na kuwapa furaha mashabiki. kwa kuendelea kushinda mechi zetu mpaka sasa tumeshinda 16 nawashukusru sana wachezaji wangu.
.
.
"Salamu zangu zingine za mwaka mpya ziende kwa mashabiki wa yanga, hawa watu ni hatari sana tunawashukuru sana. wako nasisi kila sehemu amemaliza kwa kusema hivyo..!!
Hivi huyu jamaa anapiga mishe gani mbali na ukocha?
 
Back
Top Bottom