Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mind games!Kocha wa Yanga amesema Lengo la timu ya Yanga Mwaka huu ilikuwa ni kushika nafasi ya tano kwenye Ligi Kuu. Sijamwelewa Mzee wa Bolingo!!
Chanzo: Mahojiano yake na Azam Tv.
ExactlyMind games!
Uyu ni kocha mwenye akili na uwezo mkubwa, Kama Yanga watawekeza vizuri kwa Zahera Watapata Mafanikio makubwa kabisa. Nawashauri viongozi wakae na Zahera wamsikilize, wampe ushirikiano Yanga itapata mafanikio ya kihistoria.Zahera kuwa Yanga ni bahati Yanga waitumie vizuri.Kocha wa Yanga amesema Lengo la timu ya Yanga Mwaka huu ilikuwa ni kushika nafasi ya tano kwenye Ligi Kuu. Sijamwelewa Mzee wa Bolingo!!
Chanzo: Mahojiano yake na Azam Tv.
"Mind games" how ?Mind games!
Umasikini ni kitu kibayaUyu ni kocha mwenye akili na uwezo mkubwa, Kama Yanga watawekeza vizuri kwa Zahera Watapata Mafanikio makubwa kabisa. Nawashauri viongozi wakae na Zahera wamsikilize, wampe ushirikiano Yanga itapata mafanikio ya kihistoria.Zahera kuwa Yanga ni bahati Yanga waitumie vizuri.
Kocha wa Yanga amesema Lengo la timu ya Yanga Mwaka huu ilikuwa ni kushika nafasi ya tano kwenye Ligi Kuu. Sijamwelewa Mzee wa Bolingo!!
Chanzo: Mahojiano yake na Azam Tv.
Bangi uyo anavutia chooniKocha wa Yanga amesema Lengo la timu ya Yanga Mwaka huu ilikuwa ni kushika nafasi ya tano kwenye Ligi Kuu. Sijamwelewa Mzee wa Bolingo!!
Chanzo: Mahojiano yake na Azam Tv.