Mwinyi Zahera: Lengo ni kumaliza nafasi ya Tano!!

Kocha wa Yanga amesema Lengo la timu ya Yanga Mwaka huu ilikuwa ni kushika nafasi ya tano kwenye Ligi Kuu. Sijamwelewa Mzee wa Bolingo!!

Chanzo: Mahojiano yake na Azam Tv.
Uyu ni kocha mwenye akili na uwezo mkubwa, Kama Yanga watawekeza vizuri kwa Zahera Watapata Mafanikio makubwa kabisa. Nawashauri viongozi wakae na Zahera wamsikilize, wampe ushirikiano Yanga itapata mafanikio ya kihistoria.Zahera kuwa Yanga ni bahati Yanga waitumie vizuri.
 
Umasikini ni kitu kibaya
 
safari ya chizi huwa ni ndefu lkn akirudi hurudi na makopo [emoji23][emoji23][emoji23] chura sc tulijua tu mtarukaruka mwsho wenu huo
 
Kocha wa Yanga amesema Lengo la timu ya Yanga Mwaka huu ilikuwa ni kushika nafasi ya tano kwenye Ligi Kuu. Sijamwelewa Mzee wa Bolingo!!

Chanzo: Mahojiano yake na Azam Tv.
Bangi uyo anavutia chooni
 
Back
Top Bottom