Mwinyi Zahera na mavazi ya kampuni ya POLO

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Wakuu tuweke ushabiki pembeni,Hivi Zahera amejitolea kwa Yanga kwa moyo wote?
Naona huyu kocha kuna mission yake anatekeleza pale kwenye Yanga .

Mwanzoni alipokuja alikuwa anavaa nguo za kampuni anayojua yeye ila si logo za Yanga.
Msimu huu mpya anavaa nguo za kampuni ya POLO mwanzo mwisho,kuanzia kofia, T-shirt , kaptula hadi viatu.

Aliulizwa na mwandishi,kwanini unavaa POLO?akajibu ni maamuzi yangu mfumo wangu ndo umesema nivae hivi. Akaulizwa tena au ni mganga kakuambia uvae hivo,akajibu ndiyo ni mganga wangu kaniambia hivo.
Inakuwaje kocha anavaa nguo tofauti ndani ya club kubwa?hivi ana spirit na Yanga au kuna mchongo wake anautekeleza ndani ya Yanga?

Yanga mkiharibu tu league kuu na club bingwa na mkaonyesha kumtimua huyu kocha hamtaamini atakavyowazodoa .

Time will tell!
 

Naomba unipe vazi la kocha wa Simba, wote wanafanana hamna wa kumcheka mwenzie
 
Lete ushahidi wa picha akiwa ndani ya Simba amevaa nguo za kampuni yake,tuongelee facts nimekuwekea ushahidi wa Zahera wa picha na hata video zipo,we lete ushahidi pia
Anavaa nguo za kampuni yake mwenyewe ana kiwanda chake
 
Kwani kocha wa jirani anavaa nguo za aina gani????????? Au naye ameambiwa hivyo na mganga??
 
1)Hivi kazi ya kocha ni kutangaza timu au ni kufundisha?
2) Je ni kosa kocha kuvaa viatu au kuvaa nguo zinazotengenezwa na kampuni fulani ndani ya timu?
3) je kocha akiingia mkataba na kampuni X kwaajili ya kutangaza bidhaa zake ni kosa?
4) je ni kosa kwa kampuni fulani kuamua kumvisha mtu nguo au viatu kwa makubaliano yao binafsi?
5) je kocha wa Simba akiwa uwanjani, nguo zote anazozivaa zinakuwa na nembo ya Simba?
 
Wakikujibu nitag mkuu
 
Wajinga fulani wakibishana kuhusu mavazi
 
Yupo contracted kuvaa nguo za mdhamini ? Its all about contract and money kama kuvaa kwake nguo nyingine kunamlipa huwezi kumpangia unless otherwise unamlipa avae unavyotaka wewe..
 
Mbumbumbu kwenye ubora wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…