Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Wakuu tuweke ushabiki pembeni,Hivi Zahera amejitolea kwa Yanga kwa moyo wote?
Naona huyu kocha kuna mission yake anatekeleza pale kwenye Yanga .
Mwanzoni alipokuja alikuwa anavaa nguo za kampuni anayojua yeye ila si logo za Yanga.
Msimu huu mpya anavaa nguo za kampuni ya POLO mwanzo mwisho,kuanzia kofia, T-shirt , kaptula hadi viatu.
Aliulizwa na mwandishi,kwanini unavaa POLO?akajibu ni maamuzi yangu mfumo wangu ndo umesema nivae hivi. Akaulizwa tena au ni mganga kakuambia uvae hivo,akajibu ndiyo ni mganga wangu kaniambia hivo.
Inakuwaje kocha anavaa nguo tofauti ndani ya club kubwa?hivi ana spirit na Yanga au kuna mchongo wake anautekeleza ndani ya Yanga?
Yanga mkiharibu tu league kuu na club bingwa na mkaonyesha kumtimua huyu kocha hamtaamini atakavyowazodoa .
Time will tell!