Mwinyi Zahera na mavazi ya kampuni ya POLO

Mwinyi Zahera na mavazi ya kampuni ya POLO

Vyura bwana kila uchao wanachakaa kocha wao mwenyewe yupo pale kwa ajili ya ku-volunteer ili apate experience na si kufundisha timu as a professional coach na ndo maana hata timu yao ya taifa iliharibu kweye AFCON. wachezaji walikuwa wanacheza kwa uwezo wao na si maelekezo ya makocha wao.

Vyuraaaa wa baridiiiiiiiiiii!!!!
 
Back
Top Bottom