Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kocha iko akili mingi sana....Beno aende akadakie Musiba Queen football club....View attachment 969676
“Huyo aliyempa pesa Kakolanya, aje awape na hawa wengine kwa sababu si yeye tu anayedai, ikitokea hawa waliobaki nao wakagoma kucheza jumapili unadhani itakuwaje, siwezi kumpokea tena, atafute timu nyingine hapa kwetu nafasi yake haipo “ - KOCHA ZAHERA MWINYI
Mara baada ya Benno kupewa Million 2 na Musiba
Yeah maana tayari yule ni kirusiKocha iko akili mingi sana....Beno aende akadakie Musiba Queen football club....
Zahera anatoa Bonge la Somo ktk Mpira wa Tanzania....
Kwani timu ya taifa haina hela?Huyu kocha anatufaa sana kwenye timu ya Taifa.
Kwani timu ya taifa haina hela?
Magufuli ajifunze kitu kutoka kwa huyu Kocha wa Yanga...Umoja wa Kitaifa unaweza jengwa....vinginevyo ashupaze shingo na Bashitelism......Musiba ni Kirusi kibaya, Ukimwi una nafuuuuhuyu jamaa ana busara sana.. hupaswi kuwagawa watoto wako