Samahani mkuu nilikuwa nakuwahishia ujumbe uwahi kuvaa Kipensi chako maana Zahera aliwapagaishaSia uandike umetulia unaandika kama unasutana
Dah wamlipe mapema asee yasijetokea ya mzungu akazuia malori yetu huko Lubumbashi
Dah wamlipe mapema asee yasijetokea ya mzungu akazuia malori yetu huko Lubumbashi
Anarudi leo bongo