Mwinyi Zahera: Narejea Tanzania kuchukua malimbikizo yangu ya fedha kwa Yanga

Mwinyi Zahera: Narejea Tanzania kuchukua malimbikizo yangu ya fedha kwa Yanga

Screenshot_20191102-134506.png
 
Ni m-vua vipensii au mvaa vipensii. Teheteheee tehetehee.

Vyuraa vyurani, mkongo huyu tapeli atawaganda hadi kome
 
Dah wamlipe mapema asee yasijetokea ya mzungu akazuia malori yetu huko Lubumbashi

Na kama wanataka kupitisha Bakuri tena basi safari hii wampelekee Rz1 na Mzee JK kwani waTz wamewachoka mtaani
 
Walimalizana kimyakimya, wewe unataka nini
 
Back
Top Bottom