Mwinyi Zahera ni kocha bomu

Mwinyi Zahera ni kocha bomu

chamakh

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,075
Reaction score
1,343
Nimekuwa nikimfuatilia Kocha Mwinyi Zahera tangia ajiunge na Timu ya Yanga Mwishoni mwa msimu wa 2017/18. unaweza kusema amepata mafanikio kiasi ikiwemo kuifanya Timu yake kushika nafasi ya Pili mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na ikiwemo kuwa Kocha Bora wa Mwezi Desemba 2018 na Januari 2019.

Hata hivyo Kocha huyu ana tatizo katika mbinu zake. Ni muumini sana wa mtindo wa kujilinda. Tuliona mechi dhidi ya Simba kwenye Ligi Kuu msimu uliopita. Mechi ya kwanza walifanikiwa kulinda ipasavyo na mechi kuisha 0-0 na kwenye mechi ya Pili walilinda vyema kabla ya kuruhusu goli dakika ya 70 na kuishia kufungwa 1-0 na Simba.

Leo tarehe 14 Septemba 2019, ameiongoza Yanga katika mechi ya Tatu Kimataifa kwa kucheza mechi ya Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ZESCO United ya Zambia. Katika Mechi hii Zahera ameonyesha wazi alivyo muoga. Amechezesha mfumo wa 4-5-1 huku akiwa na mabeki asilia 3, Yondani, Moro na Ally Sonso japo alikuwepo Mapinduzi Balama ila huyu ni Kiungo. Akachezesha wachezaji 5 wa Viungo na Fowadi mmoja Sadney Khotage Urkob peke yake.Huu ni woga mkubwa aliounyesha. Nina imani angecheza na Washambuliaji wawili au watatu pengine timu yake ingepata matokeo yaliyo tofauti na waliyopata leo.

Mchezaji kama Sibomana alikuwa out of form kabisa leo. Ukiachana na lile goli la penati hakuwa na mchango wowotw wa maana. Nilidhani angeweza kutoka Sibomana akaingia Ngasa huku pia ukiwa na Kalengo pamoja na JUma Balinyya au Sadney ili kuimarisha pacha ya Usshambuliaji.

Mashabiki wa Yanga wanaweza kuamua wenyewe hata hivyo, sisi kazi yetu ni kutoa tathmini tuu.
 
You're right brother!
 
weka thamani ya kikosi cha zesco kisha weka thamani ya kikosi cha yanga... ukiongezea na mishahara wanaolipwa wachezaji wote ..

kisha weka gharama za kikosi cha timu za Tanzania simba na azam na mishahara wanayolipwa...kisha weka na yanga..

tutajua kocha bomu ni nani
 
Acheze washambuliaji wawili wako wapi ?
Yanga haina washambuliaji, inamkosa mtu mwenye sifa za makambovic

Aliyehusika kuwaleta kina sadney, kalengo ahojiwe vizuri aliona nini kwa hawa watu!! Sioni cha maana kwa kalengo kuna nafasi kama mbili hvi alizipoteza waziwazi mtu kama makambo angepewa nafasi zile tungekua tunaongea mengine mda huu.
NB: sina mashaka na mfumo wa zahera nina mashaka pengine wachezaji hawaelewi wanachofundishwa kwasababu kocha hafundishi jinsi ya kupachika mpira wavuni wala kutuliza mpira......kuna mda michezaji inafanya vitu vya hovyo hovyo.
 
Binafsi namuelewa sana papaa zahera..katika mechi ya leo naona mashabiki wa simba mnamponda sana papaa lakini kwa watu wa mpira huwezi kumkosoa zahera,kamusoko alipata nafasi kama zari la mentali,mechi ya marudiano komando kipensi atafanya maajabu
 
Nyie endeleeni kuchambua tu Fomyula zozote mara holdimildfilda na tuu ofensivu ila ninachokijua mimi yanga ni lakuvunda halina ubani Asante kwa kushiriki(Yanga)
 
Nimekuwa nikimfuatilia Kocha Mwinyi Zahera tangia ajiunge na Timu ya Yanga Mwishoni mwa msimu wa 2017/18. unaweza kusema amepata mafanikio kiasi ikiwemo kuifanya Timu yake kushika nafasi ya Pili mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na ikiwemo kuwa Kocha Bora wa Mwezi Desemba 2018 na Januari 2019.

Hata hivyo Kocha huyu ana tatizo katika mbinu zake. Ni muumini sana wa mtindo wa kujilinda. Tuliona mechi dhidi ya Simba kwenye Ligi Kuu msimu uliopita. Mechi ya kwanza walifanikiwa kulinda ipasavyo na mechi kuisha 0-0 na kwenye mechi ya Pili walilinda vyema kabla ya kuruhusu goli dakika ya 70 na kuishia kufungwa 1-0 na Simba.

Leo tarehe 14 Septemba 2019, ameiongoza Yanga katika mechi ya Tatu Kimataifa kwa kucheza mechi ya Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ZESCO United ya Zambia. Katika Mechi hii Zahera ameonyesha wazi alivyo muoga. Amechezesha mfumo wa 4-5-1 huku akiwa na mabeki asilia 3, Yondani, Moro na Ally Sonso japo alikuwepo Mapinduzi Balama ila huyu ni Kiungo. Akachezesha wachezaji 5 wa Viungo na Fowadi mmoja Sadney Khotage Urkob peke yake.Huu ni woga mkubwa aliounyesha. Nina imani angecheza na Washambuliaji wawili au watatu pengine timu yake ingepata matokeo yaliyo tofauti na waliyopata leo.

Mchezaji kama Sibomana alikuwa out of form kabisa leo. Ukiachana na lile goli la penati hakuwa na mchango wowotw wa maana. Nilidhani angeweza kutoka Sibomana akaingia Ngasa huku pia ukiwa na Kalengo pamoja na JUma Balinyya au Sadney ili kuimarisha pacha ya Usshambuliaji.

Mashabiki wa Yanga wanaweza kuamua wenyewe hata hivyo, sisi kazi yetu ni kutoa tathmini tuu.
Ndugu, Zahera alitumia mfumo huo kutokana na kutokuwa na Mabeki wazuri wa pembeni hasa kutokana na majeruhi ya Paulo Godfrey. Hata aliyecheza nafasi yake ambaye ni Mapinduzi Balama ni kiungo. Kwa kweli mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni kwa mbinu za mpira namkubali Zahera.
 
Binafsi namuelewa sana papaa zahera..katika mechi ya leo naona mashabiki wa simba mnamponda sana papaa lakini kwa watu wa mpira huwezi kumkosoa zahera,kamusoko alipata nafasi kama zari la mentali,mechi ya marudiano komando kipensi atafanya maajabu
Ila tumpe muda Zahera kama Simba walivyoitengeneza timu kwa miaka 5 then baadae wakabeba ubingwa na kufika robo fainali ya CAF.
 
Nyie endeleeni kuchambua tu Fomyula zozote mara holdimildfilda na tuu ofensivu ila ninachokijua mimi yanga ni lakuvunda halina ubani Asante kwa kushiriki(Yanga)
Mnyonge mnyongeni Lakini haki yake mpenzi. Iweje ahsante ya mwengine apewe mtu mwengine? Anayeendelea na mashindano na aliyekwishayaaga kitambo, yupi anastahiki hiyo ahsante?
 
weka thamani ya kikosi cha zesco kisha weka thamani ya kikosi cha yanga... ukiongezea na mishahara wanaolipwa wachezaji wote ..

kisha weka gharama za kikosi cha timu za Tanzania simba na azam na mishahara wanayolipwa...kisha weka na yanga..

tutajua kocha bomu ni nani
Taahira namba one.
 
Nimekuwa nikimfuatilia Kocha Mwinyi Zahera tangia ajiunge na Timu ya Yanga Mwishoni mwa msimu wa 2017/18. unaweza kusema amepata mafanikio kiasi ikiwemo kuifanya Timu yake kushika nafasi ya Pili mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na ikiwemo kuwa Kocha Bora wa Mwezi Desemba 2018 na Januari 2019.

Hata hivyo Kocha huyu ana tatizo katika mbinu zake. Ni muumini sana wa mtindo wa kujilinda. Tuliona mechi dhidi ya Simba kwenye Ligi Kuu msimu uliopita. Mechi ya kwanza walifanikiwa kulinda ipasavyo na mechi kuisha 0-0 na kwenye mechi ya Pili walilinda vyema kabla ya kuruhusu goli dakika ya 70 na kuishia kufungwa 1-0 na Simba.

Leo tarehe 14 Septemba 2019, ameiongoza Yanga katika mechi ya Tatu Kimataifa kwa kucheza mechi ya Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ZESCO United ya Zambia. Katika Mechi hii Zahera ameonyesha wazi alivyo muoga. Amechezesha mfumo wa 4-5-1 huku akiwa na mabeki asilia 3, Yondani, Moro na Ally Sonso japo alikuwepo Mapinduzi Balama ila huyu ni Kiungo. Akachezesha wachezaji 5 wa Viungo na Fowadi mmoja Sadney Khotage Urkob peke yake.Huu ni woga mkubwa aliounyesha. Nina imani angecheza na Washambuliaji wawili au watatu pengine timu yake ingepata matokeo yaliyo tofauti na waliyopata leo.

Mchezaji kama Sibomana alikuwa out of form kabisa leo. Ukiachana na lile goli la penati hakuwa na mchango wowotw wa maana. Nilidhani angeweza kutoka Sibomana akaingia Ngasa huku pia ukiwa na Kalengo pamoja na JUma Balinyya au Sadney ili kuimarisha pacha ya Usshambuliaji.

Mashabiki wa Yanga wanaweza kuamua wenyewe hata hivyo, sisi kazi yetu ni kutoa tathmini tuu.
Fanyeni tathmini ya kocha wenu Uchebe. Ya Yanga itawashinda
 
Zahera kwa mwendo huu hamalizi msimu. Mashabiki wakilalamika mnakuja na propaganda eti wanatumwa na Simba...
 
Ila binafsi natamani Zahera aendelee kuwepo Jangwani maana tutatangaza ubingwa February 2020 tuu. Kwa mwendo huu nafasi ya 5 Yanga inaihusu
 
Yanga kombe letu ni klabu bingwa afrika au shirikisho afrika, hilo kombe la mchangani vodacom simba tangazeni ubingwa hata mwezi huu sisi yanga hatulitaki tumeshachoka kulichukua
 
Kupata Vichekesho kama hivi nitume namba gani?
 
Back
Top Bottom