Mfano kama mtoto ni wa kiume halafu ukubwani ana bahatika kuwa ni mchezaji mpira Europe, uwanjani dk zote 90 atakuwa anapokea matusi.Hilo jina kama ataishi nje ya Africa inabidi abadilishemtoto jina monkey??? baba mama wote stupid!
mtoto jina monkey??? baba mama wote stupid!
mbona mafoto siyo murua? Hayaonekani vizuri au ni uzee wangu macho hayaoni barabara?
Nje ya Africa maracist wanaweza kumtusi hadharani kwa kigezo cha jina lake au kuwatusi watu wengine kupitia jina lake.Ukubwani akiamua kwenda kubeba boksi anaweza kukosa kazi kutokana watu wata feel uneasy kulitamka.Nimetoa mfano hapo juu, kama ni mtoto wa kiume akawa mchezaji mpira Ulaya,washabiki wakaanza "monkey monkey monkey" itacause discomfoct kwake na kwa watu wengineHuna mamlaka ya kuwatukana. Kosa li wapi kuitwa nyani? Kwa tafsiri yako unalitazama negatively wakati wao wana mtizamo tofauti. Wangemuita simba ndio ungefurahi? Let them be.
Huna mamlaka ya kuwatukana. Kosa li wapi kuitwa nyani? Kwa tafsiri yako unalitazama negatively wakati wao wana mtizamo tofauti. Wangemuita simba ndio ungefurahi? Let them be.
vipi ulevi na ubishoo alishaacha?????
Ila kweli inawezakana ni mitizamo yetu tu! Kuna watu wengi tu wanatumia majina ya wanyama. Kuna wanaoitwa Tausi,Nyoka, Ndege, nk na hata humu JF kuna mtu anajiita Nyani Ngabu(hata kama ni id tu lakini bado inaashiria preferences za mtu)! Na vipi watani zangu wa kule Ruvuma majina yao!Huna mamlaka ya kuwatukana. Kosa li wapi kuitwa nyani? Kwa tafsiri yako unalitazama negatively wakati wao wana mtizamo tofauti. Wangemuita simba ndio ungefurahi? Let them be.
Angekuwa ameacha asingemuita mtoto Monkey!!
Shindwa! Usiombee mwenzio mabayaPingu za maisha? Unamjua Mwisho au unamsikia? au kwa kuwa Merly ana kitumbo? muulizeni Ray C anamajibu. Jamaa anapita hapo mtaniambia siku moja humu humu ndani ya jf
Pingu za maisha? Unamjua Mwisho au unamsikia? au kwa kuwa Merly ana kitumbo? muulizeni Ray C anamajibu. Jamaa anapita hapo mtaniambia siku moja humu humu ndani ya jf
mkuu kwani huwezi kuwa umefulia na ukaoa vilevile??
Meryl and Tanzania's badboy Mwisho caused quite a stir during the Big Brother Amplified reality Show. The two who many considered as being a bit too outgoing delved into a serious relationship during their stay at the Big Brother house!Meryl who was quite the bad girl was at one point very close to Kenya's Sheila Kwamboka leaving everyone's imagination running wild. Meryl set her focus on Mwisho and well, her efforts finally paid off as the internet went abuzz with news of her pregnancy. The couple got engaged while still at the Big Brother house. Sources reveal that the two will have tying the knot soon. We'll sure keep you updated.Congratulations to the soon to be parents!