Mwisho afunga pingu za maisha na Merly wa Namibia

mtoto jina monkey??? baba mama wote stupid!
Mfano kama mtoto ni wa kiume halafu ukubwani ana bahatika kuwa ni mchezaji mpira Europe, uwanjani dk zote 90 atakuwa anapokea matusi.Hilo jina kama ataishi nje ya Africa inabidi abadilishe
 
mtoto jina monkey??? baba mama wote stupid!

Huna mamlaka ya kuwatukana. Kosa li wapi kuitwa nyani? Kwa tafsiri yako unalitazama negatively wakati wao wana mtizamo tofauti. Wangemuita simba ndio ungefurahi? Let them be.
 
Nje ya Africa maracist wanaweza kumtusi hadharani kwa kigezo cha jina lake au kuwatusi watu wengine kupitia jina lake.Ukubwani akiamua kwenda kubeba boksi anaweza kukosa kazi kutokana watu wata feel uneasy kulitamka.Nimetoa mfano hapo juu, kama ni mtoto wa kiume akawa mchezaji mpira Ulaya,washabiki wakaanza "monkey monkey monkey" itacause discomfoct kwake na kwa watu wengine
 
Huna mamlaka ya kuwatukana. Kosa li wapi kuitwa nyani? Kwa tafsiri yako unalitazama negatively wakati wao wana mtizamo tofauti. Wangemuita simba ndio ungefurahi? Let them be.

.... +1

Tumesahau jina hilo ni la kawaida kwa wale watani zetu wangoni kwani wao wanajiita majina ya wanyama kama .. Nyani..Ng'ombe.. Mapunda...Komba ..Simba.. Nyoka... Nguruwe ....
 
Mada ndoaa...au mada jina la Monkey?! Hongera kwao. Ila Merly inawezekana ni boredom na unungayembe syndrome vilikuwa vinamsumbua.. Sikumbuki kuwaona na mahusiano BBA!
 
bbas%20meryl%20and%20mwisho.jpg
Meryl and Tanzania's badboy Mwisho caused quite a stir during the Big Brother Amplified reality Show. The two who many considered as being a bit too outgoing delved into a serious relationship during their stay at the Big Brother house!​
Meryl who was quite the bad girl was at one point very close to Kenya's Sheila Kwamboka leaving everyone's imagination running wild. Meryl set her focus on Mwisho and well, her efforts finally paid off as the internet went abuzz with news of her pregnancy. The couple got engaged while still at the Big Brother house. Sources reveal that the two will have tying the knot soon. We'll sure keep you updated.​
Congratulations to the soon to be parents!
 
Kwani wamewaambia jina la mtoto wao Monkey ni la Kiingereza? Mbona Waghana kibao wanaitwa Kumah, na kwa lugha yao ni poa tu? Lugha za watu tuzitumie kwa mawasiliano, ila zisitutawale kila mahali hadi kwenye majina yetu!
 
Huna mamlaka ya kuwatukana. Kosa li wapi kuitwa nyani? Kwa tafsiri yako unalitazama negatively wakati wao wana mtizamo tofauti. Wangemuita simba ndio ungefurahi? Let them be.
Ila kweli inawezakana ni mitizamo yetu tu! Kuna watu wengi tu wanatumia majina ya wanyama. Kuna wanaoitwa Tausi,Nyoka, Ndege, nk na hata humu JF kuna mtu anajiita Nyani Ngabu(hata kama ni id tu lakini bado inaashiria preferences za mtu)! Na vipi watani zangu wa kule Ruvuma majina yao!

Nchi nyingine wana sheria zinazozuia kuwapa/kuwa register watoto kwa majina 'yasiofaa' sasa huku 'kwetu' sidhani kama zipo!
 
Pingu za maisha? Unamjua Mwisho au unamsikia? au kwa kuwa Merly ana kitumbo? muulizeni Ray C anamajibu. Jamaa anapita hapo mtaniambia siku moja humu humu ndani ya jf
Shindwa! Usiombee mwenzio mabaya
 
Pingu za maisha? Unamjua Mwisho au unamsikia? au kwa kuwa Merly ana kitumbo? muulizeni Ray C anamajibu. Jamaa anapita hapo mtaniambia siku moja humu humu ndani ya jf

Ushindwe, ulitakiwa kuwapa hongera na kuwaombea ndoa yako iwe ya furaha na amani na sio kuwawazia mabaya. Ndoa ziheshimiwe na watu wote. Aliyewaunganisha Mungu hakuna wakuwatenganisha. Mwisho hongera sana na shemeji Merlyn karibu nyumbani.
 
mtoto akiulizwa what is ur name atajibu "MONKEY THE END"Duh imetulia sana akija tanzania ataulizwa jina lako nani atajibu NYANI MWISHO
 
bbas%20meryl%20and%20mwisho.jpg
Meryl and Tanzania's badboy Mwisho caused quite a stir during the Big Brother Amplified reality Show. The two who many considered as being a bit too outgoing delved into a serious relationship during their stay at the Big Brother house!​
Meryl who was quite the bad girl was at one point very close to Kenya's Sheila Kwamboka leaving everyone's imagination running wild. Meryl set her focus on Mwisho and well, her efforts finally paid off as the internet went abuzz with news of her pregnancy. The couple got engaged while still at the Big Brother house. Sources reveal that the two will have tying the knot soon. We'll sure keep you updated.​
Congratulations to the soon to be parents!

Mkuu kwa data wewe sikuwezi!
 
Mtoto monkey,,,,, .watu wazima akili za kitoto
 
Back
Top Bottom