mwisho atakuwa wangu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Ni yule mrembo mwenye avatar ya kuvutia mno, waweza kisia ni nani huyo?
 
Huyo mnajuana wenyewe, ngoja nae aje ajioneee hili
 
Ungekuwa mwenye miaka 14 mpaka 16 ningeelewa unamaana gani, ila kwa umri wako nakushangaa kwa kupenda picha.
 
Ungekuwa mwenye miaka 14
mpaka 16 ningeelewa unamaana gani, ila kwa umri wako nakushangaa kwa
kupenda picha.
hahaaaa nakunywaga wine ya burudani ndo maana jero tu lock inatoka; vodca bei mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…