Mwisho leo tar 16/7/2014 kufanya confirmation selection za vyuo vya afya

Mwisho leo tar 16/7/2014 kufanya confirmation selection za vyuo vya afya

COARTEM

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
3,603
Reaction score
3,658
Modds sijui mtafanyaje, lakini angalieni namna ya kuwafikishia ujumbe hawa wadogo zetu waliofanya Application kupitia NACTE kwa kozi za Afya. First batch imetoka kwa waliokuwa selected., tatizo ni kwamba inabidi mtu a- CONFIRM hiyo selection aliyopewa. Asipo Confirm kesho jamaa nafasi hiyo wanampa mtu mwingine. Mimi mwenyewe nimeona leo kwa ndugu yangu, haraka sana tumeshafanya CONFIRMATION. Hebu tuwasaidie watoto na wadogo zetu.
Mnaweza ingia hapa:http://41.93.31.136:8080/Selections kufanya Confirmation au LOGIN kwenye kuangalia Profile yako :http://41.93.31.135:8080/health
NAWASILISHA.
 
naomba kuuliza mkuu Tanga school of nursing n cha serikal na ada yao....
Shukran
 
Sisi huku Nysss hatuna umeme hadi tuende Songea mjini kilometer 120.tuka confirm
 
Kile chuo nicha gv

Shukran mkuu kma na taarifa ya Ada zao unazo tafadhar niwasilishie mkuu.....
Au kma join maelezo ipo niwasilishie Kaka .....
Alaf mm nili komfirm tareh 19 ....kupitia CAS ndo nikawa CONFIRMED....
Shukran
 
Back
Top Bottom