Modds sijui mtafanyaje, lakini angalieni namna ya kuwafikishia ujumbe hawa wadogo zetu waliofanya Application kupitia NACTE kwa kozi za Afya. First batch imetoka kwa waliokuwa selected., tatizo ni kwamba inabidi mtu a- CONFIRM hiyo selection aliyopewa. Asipo Confirm kesho jamaa nafasi hiyo wanampa mtu mwingine. Mimi mwenyewe nimeona leo kwa ndugu yangu, haraka sana tumeshafanya CONFIRMATION. Hebu tuwasaidie watoto na wadogo zetu.
Mnaweza ingia hapa:http://41.93.31.136:8080/Selections kufanya Confirmation au LOGIN kwenye kuangalia Profile yako :http://41.93.31.135:8080/health
NAWASILISHA.
Shukran mkuu kma na taarifa ya Ada zao unazo tafadhar niwasilishie mkuu.....
Au kma join maelezo ipo niwasilishie Kaka .....
Alaf mm nili komfirm tareh 19 ....kupitia CAS ndo nikawa CONFIRMED....
Shukran