Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 114309staa wa shindano la big brother, mwisho mwampamba,
amesikitishwa na vitendo vya ubaguzi alivyofanyiwa na
polisi wa nchini namibia, anakoishi na mkewe, meryl
shikwambane, ambapo walimfuata kwenye nyumba yake na
kumtaka aondoke nchini humo.
Mwisho ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa
kijamii wa facebook, akisema nchi hiyo sasa hivi imekuwa
kama afrika kusini, ambako wageni, hasa wenye ngozi ya
kiafrika, hupata shida ya kuishi kutokana na kubaguliwa.
mimi nimeoa mtu wao na nimezaa naye mtoto, nashangaa
kubaguliwa na polisi hao, pia inashangaza kuona
wakiwahudumia vyema wageni kutoka barani ulaya, lakini
sisi waafrika wenzao tunabaguliwa, alisema
mwampamba.
Mkali huyo ameshangazwa kupewa hati ya kuishi nchini
humo kwa miezi miwili pekee, wakati ameoa mwanamke wa
nchi hiyo, huku akipata shida hiyo hata mipakani.umeripoti mtandao mmoja wa hapa bongo soma leaving facebook... | facebook
Umeoa na wewe umehamia hukohuko... chukua mke lete nyumbani ndio heshima.!!
mwisho ndo alimfanya ray C abwie unga. na haoni tatizo kuwaharibu watoto wa watu. kufukuzwa huko kuna jambo sema hawezi jiongelea mapungufu yake. mia
mwisho ndo alimfanya ray C abwie unga. na haoni tatizo kuwaharibu watoto wa watu. kufukuzwa huko kuna jambo sema hawezi jiongelea mapungufu yake. mia
me kifua chake tu. Nsamehen wakuu
me kifua chake tu. Nsamehen wakuu
Ni Mwisho au Lord Eyes?mwisho ndo alimfanya ray C abwie unga. na haoni tatizo kuwaharibu watoto wa watu. kufukuzwa huko kuna jambo sema hawezi jiongelea mapungufu yake. mia
View attachment 114309STAA wa Shindano la Big Brother, Mwisho Mwampamba,
amesikitishwa na vitendo vya ubaguzi alivyofanyiwa na
Polisi wa nchini Namibia, anakoishi na mkewe, Meryl
Shikwambane, ambapo walimfuata kwenye nyumba yake na
kumtaka aondoke nchini humo.
Mwisho ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa
kijamii wa Facebook, akisema nchi hiyo sasa hivi imekuwa
kama Afrika Kusini, ambako wageni, hasa wenye ngozi ya
Kiafrika, hupata shida ya kuishi kutokana na kubaguliwa.
"Mimi nimeoa mtu wao na nimezaa naye mtoto, nashangaa
kubaguliwa na polisi hao, pia inashangaza kuona
wakiwahudumia vyema wageni kutoka barani Ulaya, lakini
sisi Waafrika wenzao tunabaguliwa," alisema
Mwampamba.
Mkali huyo ameshangazwa kupewa hati ya kuishi nchini
humo kwa miezi miwili pekee, wakati ameoa mwanamke wa
nchi hiyo, huku akipata shida hiyo hata mipakani.UMERIPOTI MTANDAO MMOJA WA HAPA BONGO SOMA Leaving Facebook... | Facebook
huyu mwisho nilimkuta arusha kwenye saloon flani hivi wanavuta bangi tu.
Mkuu kuna nini mbona unafukua makabiri?Sawa Sawa
😂🤣😅😆😁😄😃😀Mwisho niwahovyo haijawahi kutokea kwasasa anahaha na bibi moja hivi anamsumbua balaa kindondoni kwenyewe ghetto alilokua kapanga walimtimua shida tupu