Umesahau anaitwa MWISHO MWAMPAMBAmbona hakusema wakat huo huo wakati vyombo vya habari vinampamba
Mwisho na Idris Sultan wanajutia sana.Mwamba anasema yeye alikuwa mshindi wa pili na alichoambulia ni kupewa ticket za go and return kwenda capetown, bed and breakfast.
Alipowaambia kama anaweza kubadili wampe pesa, walikataa.
Unaweza kumsikiliza zaidi kwenye video hizi mbili:
View: https://youtu.be/TerskU4goEk?si=9i_DJGdlvFY7l59m
View: https://youtu.be/KWuJuYhuouc?si=NwNOWNH2Jg1AHdA6
Hapo Ndiyo Mwisho WakeUmesahau anaitwa MWISHO MWAMPAMBA
Hii ilisemwa wakati huohuo labda kama waandishi hawajui ngeli, kulikuwa hakuna zawadi ya mshindi wa pili na ukitaka kuamini hilo waulize hao waandishi ilikuwa ni kiasi gani zawadi ya mshindi wa pili, kila mwandishi atakuja na jibu lake.mbona hakusema wakat huo huo wakati vyombo vya habari vinampamba