Nafahamu kwao ni Morogoro pale Forest.yupo kwao ila sijui ni mkoani gani
anaendelea kufanya biashara zake ila sijui ni biashara gani
wanaojua wataendelea kukujuza zaidi mkuu ujuzi Wang umeishia hapo
duuh kumbe Mac muga sio story ya kufikirika ni ukweli kabisaNafahamu kwao ni Morogoro pale Forest.
Nadhani huyu ndio Mack Muga ambaye alimuimba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipi hiyo itaje basiAnatangaza TV flan alikuwamo na mheshimiwa DC Jokate kwani hamumuoni kwenye ile channel yao? Yupo Dar kajaa tele
Ya ukweli hiyo.duuh kumbe Mac muga sio story ya kufikirika ni ukweli kabisa
Mac Muga
Mac Muga
Hahahaa Mbongo mpe kichwa cha habari tuu,habari atajazia mwenyeweeeWatanzania bana....! Huwa wanaanza hivi hivi.... Page zikisogeasogea wanafunguka
Sent using Jamii Forums mobile app