Mwisho Mwampamba

Mwisho Mwampamba

yupo kwao ila sijui ni mkoani gani
anaendelea kufanya biashara zake ila sijui ni biashara gani

wanaojua wataendelea kukujuza zaidi mkuu ujuzi Wang umeishia hapo
 

Hiyo Mac Muga ndo ule wimbo au nachanganya mafile?

mwenye kujua stori yote tafadhali anisaidie maana nilikuwa mdogo. Kuna wimbo mwingine wa twanga pepeta wa kisa cha mpemba nao naomba mtu anisaidie kuujua maana nilionaga pale tbc(sina namna sasa maana tumepigwa pini kote) kwenye kipindi kimoja ile nyumba imekuwa mahame
 
Back
Top Bottom