Mwisho wa dunia ukifika sasa hivi utaenda Peponi au Motoni?

Mwisho wa dunia ukifika sasa hivi utaenda Peponi au Motoni?

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
964
Reaction score
2,675
Yaani kila nikiwaza mimi na haya mazungumbaru yangu najiona moja kwa moja motoni tu, vipi wewe jirani utakuwa upande upi Peponi au ndio tutasindikizana motoni kuwa kuni za milele?
 
Mm ntakuwa pepon na mabikra wakutosha coz mm n mnazi mfuasi mzur wa adolf hitler huwa ss n pepon tu
 
Yaani kila nikiwaza mimi na haya mazungumbaru yangu najiona moja kwa moja motoni tuu, vipi wewe jirani utakuwa upande upi Peponi au ndio tutasindikizana motoni kuwa kuni za milele...?
Mwisho wa dunia, Peponi na Motoni ni dhana za kufikirika imagination just an illusions.

Majadiliano ya hapa ni mawazo ya kufikirika tu.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom