Yaani kila nikiwaza mimi na haya mazungumbaru yangu najiona moja kwa moja motoni tu, vipi wewe jirani utakuwa upande upi Peponi au ndio tutasindikizana motoni kuwa kuni za milele?
Yaani kila nikiwaza mimi na haya mazungumbaru yangu najiona moja kwa moja motoni tuu, vipi wewe jirani utakuwa upande upi Peponi au ndio tutasindikizana motoni kuwa kuni za milele...?