Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 818
kuna demu nlikua namkubali ila tukashindwa kuwa pamoja kwa hofu ya maisha, kwamba labda mpaka nijenge nyumba ndo labda tutaweza ishi pamoja, so kama kesho ndo mwisho wa dunia ntamwambia kwanini tusiwe pamoja kwasababu tuna nafasi moja tu ya kuwa pamoja, na hofu zote hazina maana tena.Tuanze na ww utaitumiaje leo yako maana kesho hatujui tena kama tutafka ama laaah
hahahaNapiga pombe hadi hiyo kesho ikifika ibaki ikinishangaa
Napiga nyungu tu kwa kwenda mbelezamu yako sasa
Yani hata hayo masaa machache tu unawaza demu ? ππkuna demu nlikua namkubali ila tukashindwa kuwa pamoja kwa hofu ya maisha, kwamba labda mpaka nijenge nyumba ndo labda tutaweza ishi pamoja, so kama kesho ndo mwisho wa dunia ntamwambia kwanini tusiwe pamoja kwasababu tuna nafasi moja tu ya kuwa pamoja, na hofu zote hazina maana tena.
utafia kwenye nyungu?Napiga nyungu tu kwa kwenda mbele
mimi niliumbiwa mapenzi ndugu yanguYani hata hayo masaa machache tu unawaza demu ? ππ
Aisee tamaa za mwili zinawaka kikweli kweli.
Genye tu hizo.mimi niliumbiwa mapenzi ndugu yangu
sawaGenye tu hizo.