Mwisho wa Dunia

Mwisho wa Dunia

Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
554
Reaction score
818
Kama kesho jioni ndio mwisho wa Dunia, siku yako utaitumiaje?

Dedication : If the World was ending by JP Saxe
 
Tuanze na ww utaitumiaje leo yako maana kesho hatujui tena kama tutafka ama laaah
 
Tuanze na ww utaitumiaje leo yako maana kesho hatujui tena kama tutafka ama laaah
kuna demu nlikua namkubali ila tukashindwa kuwa pamoja kwa hofu ya maisha, kwamba labda mpaka nijenge nyumba ndo labda tutaweza ishi pamoja, so kama kesho ndo mwisho wa dunia ntamwambia kwanini tusiwe pamoja kwasababu tuna nafasi moja tu ya kuwa pamoja, na hofu zote hazina maana tena.
 
Yani hata hayo masaa machache tu unawaza demu ? 😆😂
Aisee tamaa za mwili zinawaka kikweli kweli.
 
Usijali kama shauku yako ni kuiona siku ya mwisho --- itafika tu haiko mbali. Hata kama ingekuwa miaka bilioni milioni elfu ijayo bado ingefika tu na suala la kujiandaa au kuishije halina halina uhusiano wowote na umbali au ukaribu wa tukio husika.

The point is what is your belief about the future!? Je, ni kama wale wanaoamini wakati ni series of endless circles!? Au wale wanaoamini ukifa ndo imetoka hivyo!? Au wale tunaoamini kwamba maisha yana maana, Mungu yupo, kuna kiama na jehanamu na kwamba mwanadamu is accountable for their actions in the end!?
 
Nitakesha nikiomba, kusoma Bible na kuimba nyimbo za tenzi za rohoni.
 
Back
Top Bottom