Mwisho wa jeuri ya binadamu ni kifo

Mwisho wa jeuri ya binadamu ni kifo

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Fanya ujeuri, ubabe, ukorofi, ukatili, ukandamizaji, uonevu, dhuluma, wizi, ushirikina, uzinifu, ukahaba, majivuno, majigambo, dharau, kujiona bora, kujivuna n.k n.k Kumbuka kiboko ya yote hayo ni Kifo.
 
Acha kututisha wewe!!!...Na wewe fanya wema, upendo,ukarimu,...KIFO kipo palepale...kifo ni asili (Nature) kwa wote wema,wabaya,wajeuri,wakarimu, maskini ,matajiri hivyo tusitishane mzee...!!![emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom