Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa kaka nina kaploti kangu huko nlitaka niwe na uhakika ili niweke kabandaView attachment 3199351ni taarifa za juu sio chini mkuu
Pia inategemea na ofisi yako mnaweza msihame ofisi nzima kama taasisi yenu imejikita zaidi Dar kwa oparesheni zake mfano TASAC, TAA, BASATA, TIC, ATCL, eGA nk njia ya uhakika ni kuomba Transfer kupitia ess .Poa kaka nina kaploti kangu huko nlitaka niwe na uhakika ili niweke kabanda
Hii sio taarifa rasmi mkuuSasa hivi kunampango wa kuhamia kizimkazi
Wadau hivi ni lini mwisho wa taasisi zote kuhamia Dodoma nimewamiss wagogo plus mji sasa hivi umekua mzuri na miundo mbinu ya kutosha.
Ok kuna Transfer za aina tatu au nne pale kwenye ESS kuna Transfer to Region, Vacancy request, na Exchange nadhani rahisi kuliko zote ni Transfer to region mfano DODOMA alafu kuna kibox unaweka kitiki kama hutaki kwenda local government yaani unataka kutoka kwenye taasisi moja kwenda taasisi nyingineMbona inasemekana kuhama (Transfer) kwenda mkoa mwingine kwenye pepmis ess hauchagui taasisi isipokuws unachagua mkoa alafu wao wanakupangia taasisi vipi kama nikipelekwa mpwapwa huko
Huu ni mtihaniOk kuna Transfer za aina tatu au nne pale kwenye ESS kuna Transfer to Region, Vacancy request, na Exchange nadhani rahisi kuliko zote ni Transfer to region mfano DODOMA alafu kuna kibox unaweka katika kama hutaki kwenda local government yaani unataka kutoka kwenye taasisi moja kwenda taasisi nyingine
Sasa iko hivi, Kuhama kwenda taasisi ambayo huijui ni changamoto ila taasisi nyingi zipo Dodoma mjini kwa maana ya kwamba ni ngumu kupelekwa kiteto ukiweka kile kitiki kwamba taasisi mpya isiwe chini ya LGAs
Karibu Dodoma mkuu.Wadau hivi ni lini mwisho wa taasisi zote kuhamia Dodoma nimewamiss wagogo plus mji sasa hivi umekua mzuri na miundo mbinu ya kutosha.
Mkuu kiteto imeingiaje hapa..[emoji2] jokesOk kuna Transfer za aina tatu au nne pale kwenye ESS kuna Transfer to Region, Vacancy request, na Exchange nadhani rahisi kuliko zote ni Transfer to region mfano DODOMA alafu kuna kibox unaweka kitiki kama hutaki kwenda local government yaani unataka kutoka kwenye taasisi moja kwenda taasisi nyingine
Sasa iko hivi, Kuhama kwenda taasisi ambayo huijui ni changamoto ila taasisi nyingi zipo Dodoma mjini kwa maana ya kwamba ni ngumu kupelekwa kiteto ukiweka kile kitiki kwamba taasisi mpya isiwe chini ya LGAs