MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

Mbona inasemekana kuhama (Transfer) kwenda mkoa mwingine kwenye pepmis ess hauchagui taasisi isipokuws unachagua mkoa alafu wao wanakupangia taasisi vipi kama nikipelekwa mpwapwa huko
 
Wadau hivi ni lini mwisho wa taasisi zote kuhamia Dodoma nimewamiss wagogo plus mji sasa hivi umekua mzuri na miundo mbinu ya kutosha.


Umekosa mada kabisa ya kupost
 
Mbona inasemekana kuhama (Transfer) kwenda mkoa mwingine kwenye pepmis ess hauchagui taasisi isipokuws unachagua mkoa alafu wao wanakupangia taasisi vipi kama nikipelekwa mpwapwa huko
Ok kuna Transfer za aina tatu au nne pale kwenye ESS kuna Transfer to Region, Vacancy request, na Exchange nadhani rahisi kuliko zote ni Transfer to region mfano DODOMA alafu kuna kibox unaweka kitiki kama hutaki kwenda local government yaani unataka kutoka kwenye taasisi moja kwenda taasisi nyingine

Sasa iko hivi, Kuhama kwenda taasisi ambayo huijui ni changamoto ila taasisi nyingi zipo Dodoma mjini kwa maana ya kwamba ni ngumu kupelekwa kiteto ukiweka kile kitiki kwamba taasisi mpya isiwe chini ya LGAs
 
Huu ni mtihani
 
Mkuu kiteto imeingiaje hapa..[emoji2] jokes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…