Mwisho wa kulilia, kulalamika kwa Watanzania ni lini?

Mwisho wa kulilia, kulalamika kwa Watanzania ni lini?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Najiuliza watz mtalia Lia mpaka lini?

Kiufupi naomba spana ziendelee.
Taifa la watu wajinga Ili kulikomboa na kuwapa awareness ni kuhakikisha unawaongezea tozo Nothing else

Taifa la watu wanaowaza ngono na pombe 24/7 nikuwaongezea tozo TU Kwa Ili mama unadi-serve tuzo ya Heshima.

That all
 
Screenshot_20220817-074037.jpg
 
Kwanza ungeandika Kwa Kiswahili Tu.
Pili wewe umefanya nini!
Nilitegemea uwe umetuambiwa ulijikuta unaandamana peke ako na uko hospital umevunjwa mguu, katika harakati zako za kuipigania Tanzania.
 
I'm ask myself watz mtalia Lia mpaka lini?

Kiufupi naomba spana ziendelee
Taifa la watu wajinga Ili kulikomboa na kuwapa awareness ni kuhakikisha unawaongezea tozo Nothing else

Taifa la watu wanaowaza ngono na pombe 24/7 nikuwaongezea tozo TU Kwa Ili mama unadi-serve tuzo ya Heshima
That all
na mpira pia, Ogopa sana nchi ambayo Gazeti za Udaku na Michezo ndo zinaongoza kwa kusomwa sana, hii ni hatari sana.
 
Wapinzani wameamua na wao wakae na familia zao wale mafao ya asali. tunapewa somo tujue namna upinzani ni muhimu kwenye nchi. twendeni taratibu tutakaa sawa
 
Back
Top Bottom