DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
na mpira pia, Ogopa sana nchi ambayo Gazeti za Udaku na Michezo ndo zinaongoza kwa kusomwa sana, hii ni hatari sana.I'm ask myself watz mtalia Lia mpaka lini?
Kiufupi naomba spana ziendelee
Taifa la watu wajinga Ili kulikomboa na kuwapa awareness ni kuhakikisha unawaongezea tozo Nothing else
Taifa la watu wanaowaza ngono na pombe 24/7 nikuwaongezea tozo TU Kwa Ili mama unadi-serve tuzo ya Heshima
That all
Aibu Sana na viongozi wana-promote upuuzi wa Simba Yanga Ili watz wasifatilie important issues.na mpira pia, Ogopa sana nchi ambayo Gazeti za Udaku na Michezo ndo zinaongoza kwa kusomwa sana, hii ni hatari sana.
πππSerikali iendelee kutunyoosha kwa tozo baada ya tozo.....tutakaa sawa tu
Mbona umesahau kulogana.Taifa la watu wanaowaza ngono na pombe 24/7
Hahahahawapinzani wameamua na wao wakae na familia zao wale mafao ya asali. tunapewa somo tujue namna upinzani ni muhimu kwenye nchi. twendeni taratibu tutakaa sawa