Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mpira unachezwa hadharani kila mtu anaona, tunachokiongea kila siku hapa kwenye jukwaa kimeonekana leo, unabahatika kukutana na timu mbovu lakini unashindwa hata kufurukuta unapigwa kipigo cha aibu namna hiyo, ni aibu kubwa, tena uko nyumbani kwako.
Simba ilichobakiza ni kuendelea kutegemea kubebwa na Karia na TFF yake, timu inaahirishiwa michezo eti icheze kimataifa wakati wenzao wanacheza hiyo hiyo michezo na wanasafiri nje ya nchi, ni upuuzi wa hali ya juu, Mtaendelea kuaibika hadharani hakuna cha mswalie mtume