Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamjambo jamvin hapo,ni dawa ipo kiboko ya minyoo ambayo ni zaidi ya albendazol
albendazole ni dawa nzuri kwa minyoo. labda kama una tegu au kichocho ambapo utahitaji dawa kama niclosamide na ivermectin.dawa ipi ni nzuri ya minyoo ambayo ni zaid ya albendazol.hapo vp
albendazole ni dawa nzuri kwa minyoo. labda kama una tegu au kichocho ambapo utahitaji dawa kama niclosamide na ivermectin.
watu wengi huandikiwa hivyo japo sijawahi ona kwenye guidelines(walioiona watatusaidia). bila shaka nisawa. vidonge vya albendazole mara nyingi huwa na 200mg na kuna njia mbili za utoaji kulingana na aina ya minyoo. kunywa viwili tu maramoja au kunywa viwili asubuhi na viwili jioni kwa siku tatu. kuna wengine hunywa hadi vidonge 12 kwa siku hasa wenye AIDS. hiyo dozi umepewa inatumika sana.asante mkuu,lakini nimestaajab kwan duka la dawa nimepewa vidonge sita nitafune asubuh viwil wili.nimemuuliza kanambia ndo dozi kamili,ni kweli jaman kama ni dozi kamili