mwisho wa matatizo

mwisho wa matatizo

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,038
Reaction score
621
hamjambo jamvin hapo,ni dawa ipo kiboko ya minyoo ambayo ni zaidi ya albendazol
 
dawa ipi ni nzuri ya minyoo ambayo ni zaid ya albendazol.hapo vp
albendazole ni dawa nzuri kwa minyoo. labda kama una tegu au kichocho ambapo utahitaji dawa kama niclosamide na ivermectin.
 
albendazole ni dawa nzuri kwa minyoo. labda kama una tegu au kichocho ambapo utahitaji dawa kama niclosamide na ivermectin.

asante mkuu,lakini nimestaajab kwan duka la dawa nimepewa vidonge sita nitafune asubuh viwil wili.nimemuuliza kanambia ndo dozi kamili,ni kweli jaman kama ni dozi kamili
 
asante mkuu,lakini nimestaajab kwan duka la dawa nimepewa vidonge sita nitafune asubuh viwil wili.nimemuuliza kanambia ndo dozi kamili,ni kweli jaman kama ni dozi kamili
watu wengi huandikiwa hivyo japo sijawahi ona kwenye guidelines(walioiona watatusaidia). bila shaka nisawa. vidonge vya albendazole mara nyingi huwa na 200mg na kuna njia mbili za utoaji kulingana na aina ya minyoo. kunywa viwili tu maramoja au kunywa viwili asubuhi na viwili jioni kwa siku tatu. kuna wengine hunywa hadi vidonge 12 kwa siku hasa wenye AIDS. hiyo dozi umepewa inatumika sana.
 
Back
Top Bottom