Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikuwa nauliza mwanamke hufika kikomo kuingia mwezini akiwa na umri gani? au kushindwa kuzaa
mke wangu ana miaka 41 ana mtoto mmoja nina wasiwasi kama huko mbeleni ataweza kunizalia watoto wengine
mke wangu ana miaka 41 ana mtoto mmoja nina wasiwasi kama huko mbeleni ataweza kunizalia watoto wengine
Yule Halle Berry kajifungua juzi akiwa na miaka 47, hakutegemea kama bado alikuwa ana uwezo wa kupata ujauzito tena kwa kuwa na umri mkubwa. Hivi karibuni nilisoma mahali mama mmoja ambaye alidai kuwa na miaka 55 aliandika kwamba haoni dalili zozote za menopause bado hali yake kule kunako anaiona kama alipokuwa enzi za ujana wake na anahisi bado ana uwezo wa kushika mimba. Nadhani inategemea pia na vitu kama genes, mtu alivyojitunza katika maisha yake ikiwemo kula vizuri, mazoezi n.k.
UK woman, 59, world's oldest natural mother - Telegraph
Mr Otway told the News of the World: "All of the family have got young genes. I'm 33 and some people say I look about 24, 25 - and I'm quite happy with that. My sister's 39 and only looks about 27.
Mke wa ibrahimu, sarai alizaa akiwa na miaka 90, hiyo ni kwa watu wenye imani. Kwa kawaida wanawake wengi hufika kikomo cha kuingia mwezini wakiwa na miaka 45 mpaka 50 inategemeana wakati wengine wanaenda zaidi ya miaka 50 kama vile tunavyoongelea kubalehe kuna mwingine miaka 8 ameshavunja ungo wakati mwingine mpaka miaka 14.
mke wangu ana miaka 41 ana mtoto mmoja nina wasiwasi kama huko mbeleni ataweza kunizalia watoto wengine
nimemuoa akiwa na miaka 33 akaja kuzaa akiwa na 35
mke wangu ana miaka 41 ana mtoto mmoja nina wasiwasi kama huko mbeleni ataweza kunizalia watoto wengine
nimemuoa akiwa na miaka 33 akaja kuzaa akiwa na 35