Mwisho wa mwezi una mambo jamani....!

Mwisho wa mwezi una mambo jamani....!

Mkare

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
504
Reaction score
79
mshahara lini (2).jpg
 
Hapo hatoki mpaka kieleweke...!
 
Kidogo kitu kimekubali Jumamosi halafu ile anatakakutoa tu, kadi imezama... ngoma mpaka J3 du! ukute ATM yenyewe ni benki ya makabwela... kutakuwa hapatoshi..
 
:kev::kev::kev:mwambie mshahara wa mwezi huu wanapokelea dirishani.:kev::kev:
 
Huyu lazima atakuwa either bonge moja la chapombe au mdeni sugu a.k.a loan officer na ukute anadaiwa hadi na mangi ingawaje mangi hakopeshi.kuepuka usumbufu ngoja atie pozi hapo hata wanayemdai wakija na wanajeshi achilia mbali polisi nguvu lazima zikuishie.anyway bonge moja la ubunifu.
 
Mishahara midogo jamani haikutani kabisa, lol umenikumbusha ngoja na mimi nipitie nikacheki
 
Back
Top Bottom