Mwisho wa mwezi wanawake huwa welevu na wenye discpline mno

Mwisho wa mwezi wanawake huwa welevu na wenye discpline mno

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Ambao mna familia au mpo kwenye mahusiano mtanisaidia kwenye hili.

Mwisho wa mwezi wanawake huwa wapole sana na wenye mahaba mengi kwa waume zao tofauti na katikati ya mwezi au mwanzo wa mwezi muamala ukikata au kufifia.

Ndoa nyingi huwa zina amani sana mwisho wa mwezi.

Varangati huanza mwezi ukishakatika mpaka katikati ya mwezi.

Shikamoo mshahara
 
Kwa wenye waume waajiriwa kwa sisi, kwa wenye wafanyabiashara matumiz unapewa kwa suprise Huwez tegemea Mwisho wa mwez
 
Nyuzi nyingine zinachekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utafiti wa kibenki unaonesha kwamba wanaume wengi hu-withdraw sana siku za ijumaa, na wanawake wengi hu-deposit sana siku za jtatu
 
Back
Top Bottom