Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Ambao mna familia au mpo kwenye mahusiano mtanisaidia kwenye hili.
Mwisho wa mwezi wanawake huwa wapole sana na wenye mahaba mengi kwa waume zao tofauti na katikati ya mwezi au mwanzo wa mwezi muamala ukikata au kufifia.
Ndoa nyingi huwa zina amani sana mwisho wa mwezi.
Varangati huanza mwezi ukishakatika mpaka katikati ya mwezi.
Shikamoo mshahara