mwisho wa safari ya ndoa.

mwisho wa safari ya ndoa.

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,305
jamani naomba tujadiliane hili, ndoa nyingi za kiislam unaweza kupata mchumba asubuhi na kuoa jioni, lakini kwa wakiristo is complicated. Je kwa experiance yako, ni zipi zinaongoza kuvunjika, za kiislam au kikiristo. welcome.
 
kiislamu.

bt kwa miaka ya ivi karibuni ngoma droo za kikristu znavubijka fasta tu km za kiislam...
wamefunga ndoa januar february 14 wanaachana..

za kikristu nying watu wanakuwa wameachana kitaaaaaaambo sema tu wanajifanya kuish kwenye nyumba moja lakin vyumba tofaut et chach hairuhusu...lakin tendo na mengneyo yote ya ndoa wanakuwa awashiriki pamoja...
waisklam wao poa cz wana talaka 3 sjui 17 ..mkitibuana unachukua moja unasepa ukijisikia kurud na yeye kakumis kidg unarud mnalianzsha upya ..sjui mpaka akupe 3 ndo inakuwa byeeee
 
jamani naomba tujadiliane hili, ndoa nyingi za kiislam unaweza kupata mchumba asubuhi na kuoa jioni, lakini kwa wakiristo is complicated. Je kwa experiance yako, ni zipi zinaongoza kuvunjika, za kiislam au kikiristo. welcome.

Ukishajua unafanyaje...unabadilisha dini?!

Nwy dini sio inayoachanisha watu bali watu ndio wanaoachana kwahiyo rudi nyuma ubadili unachotaka uliza...unless unataka
majibu ya kiuchonganishi tu hapa!
 
basing on World wide records, europeans divorce more than any other!

Umepata majibu????
 
jamani naomba tujadiliane hili, ndoa nyingi za kiislam unaweza kupata mchumba asubuhi na kuoa jioni, lakini kwa wakiristo is complicated. Je kwa experiance yako, ni zipi zinaongoza kuvunjika, za kiislam au kikiristo. Welcome.

siku hizi kuna ndoa za aina kuvumiliana tu kaka si kwa waisalmu wala wakristo
 
Dini ni sababu mojawapo japokuwa maendeleo ndo sababu kubwa ya kuvunjika ndoa nyingi,sheria ya ndoa ya kiislam inaruhusu kumwacha mkeo,ila kwa upande wa kikristo ni tofauti kwani sio ruhusa kumwacha mkeo otherwise umemfumania na uwe na mashahidi wa 3,hivyo wapo wale wameachana na wake zao kutokana na masharti nafuu ya imani zao,lakini tatizo kubwa ni maendeleo,mambo ya haki za wanawake na mtazamo hasi juu ya ndoa!
 
Zote ndoa na matatizo ya kuja kwenye ndoa hayaangalii ndoa hii imefungwa kwa dini gani, na kumbuka wanaoachana ni wanandoa na sio dini zake, sasa wewe sikuelewi swali lako hasa linamaanisha nini.

Unajua sio kila mtu lazima apost thread humu, kama huna cha kupost ni bora uwe msomaji tu wa post za wenzako na sio kupost vitu visivyo na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom