Mwisho wa ubaya ni aibu, baada ya Simba kujaribu kumkomoa wakili msomi "Benard Morrison", yeye atamba hahitaji barua ya simba kusajiliwa Yanga

Si mnaendelea kumlipa mshahara mpaka sasa kwenye hiyo likizo yake, huku mkijua fika baada ya hapo ataenda kwa wapinzani wenu wa jadi Yanga! Au?
Ni stahiki zake za mkataba.

Morrison alitaka barua ya kuachwa huru, LAKINI hakuomba kukaa mezani kuujadili mkataba wake.
Simba Si wajinga.Utampa releasing letter Halafu atakushitaki umlipe KWA kuvunja mkataba. Kwanini hakuomba kukaa mezani kuujadili Hilo?

Au mnadhani Simba hawajui Sheria. Ule ulikuwa mtego.

Mbona Ni Jambo dogo tu kulielewa?

Ungekuwa Wewe Ni CEO wa Simba kwahiyo ungekaa na kuandika barua bila kukaa mezani na kuujadili mkataba? Na hapa elewa, so Simba wamwite Bali yy ndiye Angeomba kukaa mezani.
 
Utopolo hawana akili
 
Yani nchi nzima yenye watu milioni 60+ tumekosa mchezaji mpaka kwenda kwa Morison...? Ni sawa na kutapika halafu ule matapishi yako

Mimi ni mshabiki wa yanga lakini kwa suala la kumrejesha Morison ni upumbavu
 
Na nyie yang'a mmekosa mchezaji wa kununua mpk mumchukue huyo ili mjione mmetuweza? Akili za kiutopolo hizi
 
Sikuona sababu ya kumpa mshahara mtu tusiyemuhitaji. Tungempa maelekezo kisheria ya kuvunja mkataba wake tuokoe hizo pesa na tukwepe vita vya maneno ya mitandaoni isiyo na maana kwa mnyama.
Endeleeni kumpa mshahara wake mwisho wa mkataba wake 😀
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
acha uzuzu mkuu. Morrison ana mkataba na Simba na bado haujaisha. Simba walikuwa na Mambo mawili tu uje mezani tuongee uuzwe au uvunje mkataba au usubiri mkataba uishe uondoke huru. Au Simba inagawa wachezaji bure.Kwamba unaibuka tu hutaki kusaini mkataba mpya na unapewa tu barua unaondoka.

Uhuni wa Simba Ni upi Mkuu ndugu tangu.

Manara huyo tunamjua
 
Sikuona sababu ya kumpa mshahara mtu tusiyemuhitaji. Tungempa maelekezo kisheria ya kuvunja mkataba wake tuokoe hizo pesa na tukwepe vita vya maneno ya mitandaoni isiyo na maana kwa mnyama.
You are very right, waafrika ni vizuri tujifunze kufanya rational decision.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Si bora yanga wana watu wawili wenye akili huko kwenu tuliambiwa wote ni mbumbumbu
Kweli kabisa yule mbelgiji hakukosea kusema uto wote ni manyani, uneducated mambwa mna bweka bweka Hovyo
 
acha uzuzu mkuu. Morrison ana mkataba na Simba na bado haujaisha. Simba walikuwa na Mambo mawili tu uje mezani tuongee uuzwe au uvunje mkataba au usubiri mkataba uishe uondoke huru. Au Simba inagawa wachezaji bure.Kwamba unaibuka tu hutaki kusaini mkataba mpya na unapewa tu barua unaondoka.

Uhuni wa Simba Ni upi Mkuu ndugu tangu. Karibu
Mbona yamekua mambo 3?
 
Unajua sheria au unaongea kishabiki?
Ulitaka wampe release letter kabla mkataba haujaisha, ili baadae awashtaki kwa kuvunja mkataba?
Sikia bwana mdogo, kama simba wangempa hiyo release letter na wakaendelea kumlipa mshahara hadi mwisho wa mkataba, bado angeweza kuwashtaki kwa kuvunja mkataba na angeshinda asubuhi sana na kulipwa hela ndefu.

Anayetakiwa kuvunja mkataba ni Morrison mwenyewe au team inayomtaka. Kinyume na hapo asubiri mkataba uishe awe free agent.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
acha uzuzu mkuu. Morrison ana mkataba na Simba na bado haujaisha. Simba walikuwa na Mambo mawili tu uje mezani tuongee uuzwe au uvunje mkataba au usubiri mkataba uishe uondoke huru. Au Simba inagawa wachezaji bure.Kwamba unaibuka tu hutaki kusaini mkataba mpya na unapewa tu barua unaondoka.

Uhuni wa Simba Ni upi Mkuu ndugu tangu. Karibu
Kwanini Simba iendelee kumlipa mchezaji ambaye sio hana kazi tena?
 
..
Screenshot_20220624-010709.jpg
 
Back
Top Bottom