Mwisho wa ubaya ni aibu: Kwanini John Heche amepaniki suala la kula michango ya tonetone?

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Na NULPHIN CHARLES, Katibu Mstaafu wa CHADEMA-Serengeti

Hivi karibuni wengi tulijiuliza John Heche alipata wapi fedha za kugharamia familia yake kwenda mapumzikoni Dubai, ilihali wanachama wanahamasishwa kutoa fedha kuchangia chama na hakuna taarifa yoyote ya mapato na matumizi.

Leo, katika hali isiyotarajiwa, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa ushahidi kuwa yeye ni mnufaika wa fedha za chama zinazokusanywa kupitia michango ya Tonetone. Hii inatokana na kitendo chake cha kupaniki na kushindwa kueleza uhalisia baada ya kuulizwa swali kuhusu tuhuma zinazomkabili na mwandishi wa habari, Stanslaus Lambati.

John Heche, kama alivyo Godbless Lema, wamekuwa wakituhumiwa mara nyingi kukusanya michango na kuitumia bila kuwasilisha hesabu hizo ndani ya chama. Paniki ya leo imetoa picha halisi ya wezi wanaotumia jina la chama kujinufaisha wenyewe. CHADEMA ni chama kinachokosa sifa ya kuendelea kuwa chama cha siasa nchini; ni kikundi cha matapeli wanaotumia siasa kujipatia fedha.

Utajiri unaokusanywa na John Heche kupitia utapeli wa kisiasa unapaswa kukemewa na kila mtu mwenye akili timamu. Ikiwa ndani ya chama tu viongozi hawa wanaiba fedha bila aibu, je, wakishika dola itakuwaje? Uwajibikaji ni msingi wa maendeleo kwa taasisi yoyote, lakini kwa bahati mbaya, hakuna anayeweza kumuhoji Heche kwa hofu ya kushughulikiwa ndani ya chama hicho
 
Na bado mm n familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote tunaendelea kuchangia michango.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Na NULPHIN CHARLES, Katibu Mstaafu wa CHADEMA-Serengeti

Hivi karibuni wengi tulijiuliza John Heche alipata wapi fedha za kugharamia familia yake kwenda mapumzikoni Dubai, ilihali wanachama wanahamasishwa kutoa fedha kuchangia chama na hakuna taarifa yoyote ya mapato na matumizi.

Leo, katika hali isiyotarajiwa, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa ushahidi kuwa yeye ni mnufaika wa fedha za chama zinazokusanywa kupitia michango ya Tonetone. Hii inatokana na kitendo chake cha kupaniki na kushindwa kueleza uhalisia baada ya kuulizwa swali kuhusu tuhuma zinazomkabili na mwandishi wa habari, Stanslaus Lambati.
View attachment 3652006

John Heche, kama alivyo Godbless Lema, wamekuwa wakituhumiwa mara nyingi kukusanya michango na kuitumia bila kuwasilisha hesabu hizo ndani ya chama. Paniki ya leo imetoa picha halisi ya wezi wanaotumia jina la chama kujinufaisha wenyewe. CHADEMA ni chama kinachokosa sifa ya kuendelea kuwa chama cha siasa nchini; ni kikundi cha matapeli wanaotumia siasa kujipatia fedha.

Utajiri unaokusanywa na John Heche kupitia utapeli wa kisiasa unapaswa kukemewa na kila mtu mwenye akili timamu. Ikiwa ndani ya chama tu viongozi hawa wanaiba fedha bila aibu, je, wakishika dola itakuwaje? Uwajibikaji ni msingi wa maendeleo kwa taasisi yoyote, lakini kwa bahati mbaya, hakuna anayeweza kumuhoji Heche kwa hofu ya kushughulikiwa ndani ya chama hicho
Huna hoja kabisa..hivi huwa wanatumiwa kwenye namba za simu zao binafsi...na uweke na miamala hapa...
Hapo amepaniki kipi mbona amejibu kwa busara tu sana..Come with the pruvu...
Acha Wivu wa kwenda Dubai kula bata na Familia yake....Ana mshahara, Biashara na Marafiki ndani na nje ya Nchi tena Nje ya Siasa...Chama hakina haki ya ku kontrol Maisha yake binafsi...

Wewe Katibu wa Zamani uko hapa;
 
Attachments

  • downloadfile(64).jpg
    downloadfile(64).jpg
    25.4 KB · Views: 11
Na NULPHIN CHARLES, Katibu Mstaafu wa CHADEMA-Serengeti

Hivi karibuni wengi tulijiuliza John Heche alipata wapi fedha za kugharamia familia yake kwenda mapumzikoni Dubai, ilihali wanachama wanahamasishwa kutoa fedha kuchangia chama na hakuna taarifa yoyote ya mapato na matumizi.

Leo, katika hali isiyotarajiwa, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa ushahidi kuwa yeye ni mnufaika wa fedha za chama zinazokusanywa kupitia michango ya Tonetone. Hii inatokana na kitendo chake cha kupaniki na kushindwa kueleza uhalisia baada ya kuulizwa swali kuhusu tuhuma zinazomkabili na mwandishi wa habari, Stanslaus Lambati.
View attachment 3652006

John Heche, kama alivyo Godbless Lema, wamekuwa wakituhumiwa mara nyingi kukusanya michango na kuitumia bila kuwasilisha hesabu hizo ndani ya chama. Paniki ya leo imetoa picha halisi ya wezi wanaotumia jina la chama kujinufaisha wenyewe. CHADEMA ni chama kinachokosa sifa ya kuendelea kuwa chama cha siasa nchini; ni kikundi cha matapeli wanaotumia siasa kujipatia fedha.

Utajiri unaokusanywa na John Heche kupitia utapeli wa kisiasa unapaswa kukemewa na kila mtu mwenye akili timamu. Ikiwa ndani ya chama tu viongozi hawa wanaiba fedha bila aibu, je, wakishika dola itakuwaje? Uwajibikaji ni msingi wa maendeleo kwa taasisi yoyote, lakini kwa bahati mbaya, hakuna anayeweza kumuhoji Heche kwa hofu ya kushughulikiwa ndani ya chama hicho
Wewe ungesingiziwa ujinga kama huo ungelegeza sauti,kuagiza urojo na kuanza kukatika ngoma ya msusumio,siyo?Bastard!
 
Tuliwaambia mvae kondom za kike mkajifanya mnajua kutumia kalenda haya sasa Heche amewapa mimba kila siku mnalialia hapa jf ,cha msingi nendeni kwa ofisi ya ustawi wa jamii kata jamaa ataitwa na nafikiri atakubali kuhudumia mimba zenu.
 
Na NULPHIN CHARLES, Katibu Mstaafu wa CHADEMA-Serengeti

Hivi karibuni wengi tulijiuliza John Heche alipata wapi fedha za kugharamia familia yake kwenda mapumzikoni Dubai, ilihali wanachama wanahamasishwa kutoa fedha kuchangia chama na hakuna taarifa yoyote ya mapato na matumizi.

Leo, katika hali isiyotarajiwa, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa ushahidi kuwa yeye ni mnufaika wa fedha za chama zinazokusanywa kupitia michango ya Tonetone. Hii inatokana na kitendo chake cha kupaniki na kushindwa kueleza uhalisia baada ya kuulizwa swali kuhusu tuhuma zinazomkabili na mwandishi wa habari, Stanslaus Lambati.
View attachment 3652006

John Heche, kama alivyo Godbless Lema, wamekuwa wakituhumiwa mara nyingi kukusanya michango na kuitumia bila kuwasilisha hesabu hizo ndani ya chama. Paniki ya leo imetoa picha halisi ya wezi wanaotumia jina la chama kujinufaisha wenyewe. CHADEMA ni chama kinachokosa sifa ya kuendelea kuwa chama cha siasa nchini; ni kikundi cha matapeli wanaotumia siasa kujipatia fedha.

Utajiri unaokusanywa na John Heche kupitia utapeli wa kisiasa unapaswa kukemewa na kila mtu mwenye akili timamu. Ikiwa ndani ya chama tu viongozi hawa wanaiba fedha bila aibu, je, wakishika dola itakuwaje? Uwajibikaji ni msingi wa maendeleo kwa taasisi yoyote, lakini kwa bahati mbaya, hakuna anayeweza kumuhoji Heche kwa hofu ya kushughulikiwa ndani ya chama hicho
Kapanic nini hapo? kwanini hamtoi ushahidi na huyo CAG kwanini hajaenda kuchunguza na kutathmini? mnadhani kwa njia zenu za mwaka 1800 zinaweza kufaa miaka ya 2000+🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom