Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Wakamatenikikundi cha matapeli wanaotumia siasa kujipatia fedha.
Huna hoja kabisa..hivi huwa wanatumiwa kwenye namba za simu zao binafsi...na uweke na miamala hapa...Na NULPHIN CHARLES, Katibu Mstaafu wa CHADEMA-Serengeti
Hivi karibuni wengi tulijiuliza John Heche alipata wapi fedha za kugharamia familia yake kwenda mapumzikoni Dubai, ilihali wanachama wanahamasishwa kutoa fedha kuchangia chama na hakuna taarifa yoyote ya mapato na matumizi.
Leo, katika hali isiyotarajiwa, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa ushahidi kuwa yeye ni mnufaika wa fedha za chama zinazokusanywa kupitia michango ya Tonetone. Hii inatokana na kitendo chake cha kupaniki na kushindwa kueleza uhalisia baada ya kuulizwa swali kuhusu tuhuma zinazomkabili na mwandishi wa habari, Stanslaus Lambati.
View attachment 3652006
John Heche, kama alivyo Godbless Lema, wamekuwa wakituhumiwa mara nyingi kukusanya michango na kuitumia bila kuwasilisha hesabu hizo ndani ya chama. Paniki ya leo imetoa picha halisi ya wezi wanaotumia jina la chama kujinufaisha wenyewe. CHADEMA ni chama kinachokosa sifa ya kuendelea kuwa chama cha siasa nchini; ni kikundi cha matapeli wanaotumia siasa kujipatia fedha.
Utajiri unaokusanywa na John Heche kupitia utapeli wa kisiasa unapaswa kukemewa na kila mtu mwenye akili timamu. Ikiwa ndani ya chama tu viongozi hawa wanaiba fedha bila aibu, je, wakishika dola itakuwaje? Uwajibikaji ni msingi wa maendeleo kwa taasisi yoyote, lakini kwa bahati mbaya, hakuna anayeweza kumuhoji Heche kwa hofu ya kushughulikiwa ndani ya chama hicho
Wewe ungesingiziwa ujinga kama huo ungelegeza sauti,kuagiza urojo na kuanza kukatika ngoma ya msusumio,siyo?Bastard!Na NULPHIN CHARLES, Katibu Mstaafu wa CHADEMA-Serengeti
Hivi karibuni wengi tulijiuliza John Heche alipata wapi fedha za kugharamia familia yake kwenda mapumzikoni Dubai, ilihali wanachama wanahamasishwa kutoa fedha kuchangia chama na hakuna taarifa yoyote ya mapato na matumizi.
Leo, katika hali isiyotarajiwa, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa ushahidi kuwa yeye ni mnufaika wa fedha za chama zinazokusanywa kupitia michango ya Tonetone. Hii inatokana na kitendo chake cha kupaniki na kushindwa kueleza uhalisia baada ya kuulizwa swali kuhusu tuhuma zinazomkabili na mwandishi wa habari, Stanslaus Lambati.
View attachment 3652006
John Heche, kama alivyo Godbless Lema, wamekuwa wakituhumiwa mara nyingi kukusanya michango na kuitumia bila kuwasilisha hesabu hizo ndani ya chama. Paniki ya leo imetoa picha halisi ya wezi wanaotumia jina la chama kujinufaisha wenyewe. CHADEMA ni chama kinachokosa sifa ya kuendelea kuwa chama cha siasa nchini; ni kikundi cha matapeli wanaotumia siasa kujipatia fedha.
Utajiri unaokusanywa na John Heche kupitia utapeli wa kisiasa unapaswa kukemewa na kila mtu mwenye akili timamu. Ikiwa ndani ya chama tu viongozi hawa wanaiba fedha bila aibu, je, wakishika dola itakuwaje? Uwajibikaji ni msingi wa maendeleo kwa taasisi yoyote, lakini kwa bahati mbaya, hakuna anayeweza kumuhoji Heche kwa hofu ya kushughulikiwa ndani ya chama hicho
Tuliwaambia mvae kondom za kike mkajifanya mnajua kutumia kalenda haya sasa Heche amewapa mimba kila siku mnalialia hapa jf ,cha msingi nendeni kwa ofisi ya ustawi wa jamii kata jamaa ataitwa na nafikiri atakubali kuhudumia mimba zenu.Na NULPHIN CHARLES, Katibu Mstaafu wa CHADEMA-Serengeti
Hivi karibuni wengi tulijiuliza John Heche alipata wapi fedha za kugharamia familia yake kwenda mapumzikoni Dubai, ilihali wanachama wanahamasishwa kutoa fedha kuchangia chama na hakuna taarifa yoyote ya mapato na matumizi.
Leo, katika hali isiyotarajiwa, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa ushahidi kuwa yeye ni mnufaika wa fedha za chama zinazokusanywa kupitia michango ya Tonetone. Hii inatokana na kitendo chake cha kupaniki na kushindwa kueleza uhalisia baada ya kuulizwa swali kuhusu tuhuma zinazomkabili na mwandishi wa habari, Stanslaus Lambati.
View attachment 3652006
John Heche, kama alivyo Godbless Lema, wamekuwa wakituhumiwa mara nyingi kukusanya michango na kuitumia bila kuwasilisha hesabu hizo ndani ya chama. Paniki ya leo imetoa picha halisi ya wezi wanaotumia jina la chama kujinufaisha wenyewe. CHADEMA ni chama kinachokosa sifa ya kuendelea kuwa chama cha siasa nchini; ni kikundi cha matapeli wanaotumia siasa kujipatia fedha.
Utajiri unaokusanywa na John Heche kupitia utapeli wa kisiasa unapaswa kukemewa na kila mtu mwenye akili timamu. Ikiwa ndani ya chama tu viongozi hawa wanaiba fedha bila aibu, je, wakishika dola itakuwaje? Uwajibikaji ni msingi wa maendeleo kwa taasisi yoyote, lakini kwa bahati mbaya, hakuna anayeweza kumuhoji Heche kwa hofu ya kushughulikiwa ndani ya chama hicho
Kapanic nini hapo? kwanini hamtoi ushahidi na huyo CAG kwanini hajaenda kuchunguza na kutathmini? mnadhani kwa njia zenu za mwaka 1800 zinaweza kufaa miaka ya 2000+🤣🤣🤣🤣Na NULPHIN CHARLES, Katibu Mstaafu wa CHADEMA-Serengeti