Mwisho wa ubaya ni aibu

Wabongo tuna matatizo.

Ndiyo maana tukiachana na wapenzi wetu hua tunatamani tusikie habari mbaya tu. Mara usikie Castr kafulia kafukuzwa alipopanga, au usikie "Demu wako kakonda mbaya"

Ila ukisikia "Aziza kafungua bakery yuko mcharo kinyama" utavimbisha mashavu kama unapuliza moto na chakula huli siku hiyo.

Tuache roho mbaya.
 
Watayala tu
 
Kaazi kweli kweli ..ila Jide ange nyamaza tu" kuonyesha ukomavu wa akili
 
Ana haki ya kuongea hivyo, huyo walivyozuia nyimbo zake kupigwa wakaanzisha na #mkubwakasema, hiyo haitoshi kajikakamua kuandaa show yake mwezi mzima anaipa promo bado wiki moja Clouds wanaandaa event ya mwana Fa, ili wazuie wasanii ambao walioalikwa na Jide, ila mungu alimsaidia show ilijaa full.
 
Ivi unajua clouds walicho mfanyia Kingzilla a.k.a zizi
 
Nakumbuka! Ile ya Fa ikabaki vitu vitupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…