Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kwanini clouds ukipishana nao tu...hata kama ni haki yako wanataka upotee ufee utaabike kama Rose Mhando.!??Hatari hatari. Ila "usifurahi juu yangu eeewe adui yanguu niangukapo mimi nitasimama tenaaaaàa" by upendo nkone
wana visasi ndo shidaIla kwanini clouds ukipishana nao tu...hata kama ni haki yako wanataka upotee ufee utaabike kama Rose Mhando.!??
Basi wacha wajifunze... May be it's their turning point.wana visasi ndo shida
Mbona hamna post kama hii kwenye page yakeKama nilivyo sema dada Jide awapa dongo ule upande wa piliView attachment 944905
Wabongo tuna matatizo.
Ndiyo maana tukiachana na wapenzi wetu hua tunatamani tusikie habari mbaya tu. Mara usikie Castr kafulia kafukuzwa alipopanga, au usikie "Demu wako kakonda mbaya"
Ila ukisikia "Aziza kafungua bakery yuko mcharo kinyama" utavimbisha mashavu kama unapuliza moto na chakula huli siku hiyo.
Tuache roho mbaya.
Ivi unajua clouds walicho mfanyia Kingzilla a.k.a ziziWabongo tuna matatizo.
Ndiyo maana tukiachana na wapenzi wetu hua tunatamani tusikie habari mbaya tu. Mara usikie Castr kafulia kafukuzwa alipopanga, au usikie "Demu wako kakonda mbaya"
Ila ukisikia "Aziza kafungua bakery yuko mcharo kinyama" utavimbisha mashavu kama unapuliza moto na chakula huli siku hiyo.
Tuache roho mbaya.
nini tena?clouds wana interest gani kwa zilla?Ivi unajua clouds walicho mfanyia Kingzilla a.k.a zizi
Walimletea photocopy yake billnas kisha yeye og akatupwa kapuninini tena?clouds wana interest gani kwa zilla?
Nakumbuka! Ile ya Fa ikabaki vitu vitupuAna haki ya kuongea hivyo, huyo walivyozuia nyimbo zake kupigwa wakaanzisha na #mkubwakasema, hiyo haitoshi kajikakamua kuandaa show yake mwezi mzima anaipa promo bado wiki moja Clouds wanaandaa event ya mwana Fa, ili wazuie wasanii ambao walioalikwa na Jide, ila mungu alimsaidia show ilijaa full.