Mwisho wa ubaya ni aibu

Mwisho wa ubaya ni aibu

Wabongo tuna matatizo.

Ndiyo maana tukiachana na wapenzi wetu hua tunatamani tusikie habari mbaya tu. Mara usikie Castr kafulia kafukuzwa alipopanga, au usikie "Demu wako kakonda mbaya"

Ila ukisikia "Aziza kafungua bakery yuko mcharo kinyama" utavimbisha mashavu kama unapuliza moto na chakula huli siku hiyo.

Tuache roho mbaya.
Sijui kwann aseee
 
Poleni wafanya biashara wote kwa hasara mtakayoipata hii ndio bongo
 
Wabongo tuna matatizo.

Ndiyo maana tukiachana na wapenzi wetu hua tunatamani tusikie habari mbaya tu. Mara usikie Castr kafulia kafukuzwa alipopanga, au usikie "Demu wako kakonda mbaya"

Ila ukisikia "Aziza kafungua bakery yuko mcharo kinyama" utavimbisha mashavu kama unapuliza moto na chakula huli siku hiyo.

Tuache roho mbaya.
Kwa sababu wabongo wengi tumerithi roho mbaya za kichawi chawi, wivu na husuda.
 
Wabongo tuna matatizo.

Ndiyo maana tukiachana na wapenzi wetu hua tunatamani tusikie habari mbaya tu. Mara usikie Castr kafulia kafukuzwa alipopanga, au usikie "Demu wako kakonda mbaya"

Ila ukisikia "Aziza kafungua bakery yuko mcharo kinyama" utavimbisha mashavu kama unapuliza moto na chakula huli siku hiyo.

Tuache roho mbaya.
Kweli hata mm sijui ndugu lakini ndio tulivo..nadhani sisi black shida inaanzia moyoni. Tupo hivo au ndio vile tena adui muombee njaa. [emoji16]
 
Jide kaonesha utoto. mkubwa angekaa kimya ...tu..kuonesha ukokomavu wa Akili .
 
Back
Top Bottom