PreGE2025 Mwisho wake ni nini. Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi CHADEMA pekee inasema no reform no election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
2,275
Reaction score
2,383
Sijajua mwisho wake nini Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi ,CHADEMA pekee inasema no reform no election.

Kibaya zaidi CHADEMA iko disquualified kushiriki uchaguzi.lakini wanaendelea na campain yao kwamba no reform no election.kwa maana hiyo siku tume huru ya uchaguzi itakapotangaza tarehe ya kapeni za uchaguzi chadema watafanya nini? vurugu? watazuia watu kwenda kupiga kura?

We need to sit down kuelewa mstakanbali wa taifa letu .hapo mbele kuna hataari ya vurugu kama za Kenya.ni vyema CHADEMA iitwe na msajili wa vyama vya siasa wapigwe marufuku kuendelea na kampain yao ya no reform no elections,au utafutwe mwafaka wa jambo hili kabla ya damu kumwagika.

Solution nyengine kama hizo mbili hazifai ,basi serikali ipi marufuku mikutano ya vyama vya siasa mpaka tarehe ya kuanza kampeni za uchaguzi ,na chadema au chama ambacho kiko disqualified kisipewe kibari cha mikutano yoyote mpaka baada ya uchaguzi

The solution would be : njoo usaini kanuni za uchaguzi ,kama hutaki kwanzia sasa hutapewa kibari chochote cha mikutano ya kisiasa .
 
Ni mtego hatari sana.Ni muda sahihi kama kuna viziwi itumike njia mbadala walazimishwe kusikia hata kwa matundu wanayovalia hereni.
 
Siku zote anayeanzisha ugomvi anasahahulika, ila aliyeanzisha akipigwa na kulia, analaumiwa mpigaji.
 
Katika nchi za kidemokrasia Kila chama kiachwe kifanye shughuli zake, waamuzi ni wananchi wenye nchi yao
 
Solution rahisi kuliko zote ni kufanya reforms ili vyama vyote vishiriki. Chadema wasiposhiriki uchaguzi utadoda, na Rais atakayechaguliwa atakosa uhalali.
 
kumbuka Bunge la Ulaya limewaelekeza wawakilishi wake wafuatilie hatua kwa hatua No Reforms No Election

Angalieni msijichanganye, baadae muanze kuja kulia lia misaada mnayoendaga kuomba huko ikizimwa
 
kumbuka Bunge la Ulaya limewaelekeza wawakilishi wake wafuatilie hatua kwa hatua No Reforms No Lection

Angalieni msijichanganye, baadae muanze kuja kulia lia misaada mnayoendaga kuomba huko ikizimwa
kwani misaada inatoka ulaya tu?inaweza kutoka kwa putin ,uarabuni nk.

nafikiri tuangalie lilojema
 
Solution rahisi kuliko zote ni kufanya reforms ili vyama vyote vishiriki. Chadema wasiposhiriki uchaguzi utadoda, na Rais atakayechaguliwa atakosa uhalali.
Kanuni Za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi
Tangazo la Serikali Na. 390 (Linaendelea.)
1
MAADILI YA UTENDAJI WA WAJUMBE WA TUME NA MKURUGENZI WA UCHAGUZI
Utangulizi
Mjumbe wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wanapaswa kufuata masharti yaliyoainishwa katika
maadili haya, Katiba, Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Sheria ya Uchaguzi wa Rais,
Wabunge na Madiwani na Sheria ya Kanuni za Maadili ya Viongozi wa Umma. Misingi ya Maadili
kwa Mjumbe wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi inajumuisha yafuatayo:
1. Uadilifu na uaminifu katika kutekeleza majukumu
Mjumbe wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wanapaswa kuwa wakweli na
waaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuepuka mwenendo ambao
unaweza kushusha hadhi ya Tume.
2. Kutekeleza majukumu kwa weledi
Mjumbe wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wanapaswa kutekeleza
majukumu yao kwa weledi ili kulinda hadhi ya Tume.
3. Kufanya uamuzi kwa uhuru
Mjumbe wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wanapaswa kufanya uamuzi kwa
uhuru bila kufuata maelekezo au amri kutoka taasisi yoyote ya Serikali, chama
chochote cha siasa au mtu yeyote.
 
Hatusaini kanuni zinazolinda chaguzi za kihuni. Tumeshaomba sana mabadiliko, hatuwezi kuendelea na sheria za uchaguzi ambazo dhahiri zinatoa upendeleo kwa chama tawala. Cdm ndio wahanga wa hizi sheria za upendeleo. Hivyo vyama vingine havina wapiga kura wa kuisumbua ccm, hivyo wao hata sheria zikiwa za usawa hakuna kitu watapata. Kwao ni bora iwe hivihivi kwani viongozi wao wanahongwa na ccm kuhalalisha chaguzi haramu. Inshort enough is enough.
 
Hizo damu zimwagike kwa sababu gani? Jitahidi kutumia akili kidogo uliyobaki nayo, na kwanini ccm imwage damu?
 
Hivi ndio inavyotakiwa iwe, lakini kuna ilivyo na tunaona mara zote nini kinafanyika kwenye chaguzi zetu. Naomba nikuulize, tume ya uchaguzi inashitakiwa mahakamani? Kama haishitakiwi hustuki tu?
 
Hizo damu zimwagike kwa sababu gani? Jitahidi kutumia akili kidogo uliyobaki nayo, na kwanini ccm imwage damu?
Imekuwa ikimwaga mara nyingi, na sababu hasa ni kubaki madarakani kwa shuruti.
 
kwani misaada inatoka ulaya tu?inaweza kutoka kwa putin ,uarabuni nk.

nafikiri tuangalie lilojema
Ulaya ndio watoa misaada, hao wengine uliowataja wao wanasaka fursa tu na sio kutoa misaada.
 
Kwani serikali inaogopa nini kufanya marekebisho ya sheria za uchaguzi ambazo zitaleta usawa kwa vyama vyote na wagombea wao bila kuwa na malamiko ili tuone hao Chadema kama watafua dafu maana hatumdai mama yeye ndiye anaetudai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…