Sijajua mwisho wake nini Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi ,CHADEMA pekee inasema no reform no election.
Kibaya zaidi CHADEMA iko disquualified kushiriki uchaguzi.lakini wanaendelea na campain yao kwamba no reform no election.kwa maana hiyo siku tume huru ya uchaguzi itakapotangaza tarehe ya kapeni za uchaguzi chadema watafanya nini? vurugu? watazuia watu kwenda kupiga kura?
We need to sit down kuelewa mstakanbali wa taifa letu .hapo mbele kuna hataari ya vurugu kama za Kenya.ni vyema CHADEMA iitwe na msajili wa vyama vya siasa wapigwe marufuku kuendelea na kampain yao ya no reform no elections,au utafutwe mwafaka wa jambo hili kabla ya damu kumwagika.
Solution nyengine kama hizo mbili hazifai ,basi serikali ipi marufuku mikutano ya vyama vya siasa mpaka tarehe ya kuanza kampeni za uchaguzi ,na chadema au chama ambacho kiko disqualified kisipewe kibari cha mikutano yoyote mpaka baada ya uchaguzi
The solution would be : njoo usaini kanuni za uchaguzi ,kama hutaki kwanzia sasa hutapewa kibari chochote cha mikutano ya kisiasa .
Ninachojua mimi, hao Chadema wanaliwa "timing" na system. Kampeni za Uchaguzi Mkuu zikianza, Chadema wataambiwa kwakuwa hawashuriki kwenye Uchaguzi Mkuu, mikutano yao ya No Reform, No Election isitishwe kwanza kupisha kampeni za Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wenyewe. Baada ya hapo wataruhusiwa kuendelea na mikutano yao ya No Reform, No Election! Ahahahahaha!!Sijajua mwisho wake nini Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi ,CHADEMA pekee inasema no reform no election.
Kibaya zaidi CHADEMA iko disquualified kushiriki uchaguzi.lakini wanaendelea na campain yao kwamba no reform no election.kwa maana hiyo siku tume huru ya uchaguzi itakapotangaza tarehe ya kapeni za uchaguzi chadema watafanya nini? vurugu? watazuia watu kwenda kupiga kura?
We need to sit down kuelewa mstakanbali wa taifa letu .hapo mbele kuna hataari ya vurugu kama za Kenya.ni vyema CHADEMA iitwe na msajili wa vyama vya siasa wapigwe marufuku kuendelea na kampain yao ya no reform no elections,au utafutwe mwafaka wa jambo hili kabla ya damu kumwagika.
Solution nyengine kama hizo mbili hazifai ,basi serikali ipi marufuku mikutano ya vyama vya siasa mpaka tarehe ya kuanza kampeni za uchaguzi ,na chadema au chama ambacho kiko disqualified kisipewe kibari cha mikutano yoyote mpaka baada ya uchaguzi
The solution would be : njoo usaini kanuni za uchaguzi ,kama hutaki kwanzia sasa hutapewa kibari chochote cha mikutano ya kisiasa .
mwisho wa Chadema ni kujidumaza yenyewe kisiasa zaidi hata ya nccr mageuzi na CUF gentleman 🐒Sijajua mwisho wake nini Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi ,CHADEMA pekee inasema no reform no election.
Kibaya zaidi CHADEMA iko disquualified kushiriki uchaguzi.lakini wanaendelea na campain yao kwamba no reform no election.kwa maana hiyo siku tume huru ya uchaguzi itakapotangaza tarehe ya kapeni za uchaguzi chadema watafanya nini? vurugu? watazuia watu kwenda kupiga kura?
We need to sit down kuelewa mstakanbali wa taifa letu .hapo mbele kuna hataari ya vurugu kama za Kenya.ni vyema CHADEMA iitwe na msajili wa vyama vya siasa wapigwe marufuku kuendelea na kampain yao ya no reform no elections,au utafutwe mwafaka wa jambo hili kabla ya damu kumwagika.
Solution nyengine kama hizo mbili hazifai ,basi serikali ipi marufuku mikutano ya vyama vya siasa mpaka tarehe ya kuanza kampeni za uchaguzi ,na chadema au chama ambacho kiko disqualified kisipewe kibari cha mikutano yoyote mpaka baada ya uchaguzi
The solution would be : njoo usaini kanuni za uchaguzi ,kama hutaki kwanzia sasa hutapewa kibari chochote cha mikutano ya kisiasa .
ngempeleka Nyetanyahu kwanza anaefanya mauaji ya kimbari..Mwisho ni Serikali ya Dikteta Samia inaenda kukatiwa misaada na kuwekewa vikwazo na hatimaye yeye mwenyewe kupelekwa ICJ
Rais wa Syria (Kiongozia wa ISIS wa Zamani) wiki iliyopita alikuwa Ufaransa, hizi ni ndoto za ChademaMwisho ni Serikali ya Dikteta Samia inaenda kukatiwa misaada na kuwekewa vikwazo na hatimaye yeye mwenyewe kupelekwa ICJ
Huwezi kupiga Mapadre na ukabaji salama.Rais wa Syria (Kiongozia wa ISIS wa Zamani) wiki iliyopita alikuwa Ufaransa, hizi ni ndoto za Chadema
Kesi ilishafunguliwa aliyekuwa Raisi wa Phiilipines sasa ananyea debe bado Mama yenu Damu ya Binadamu inamlaani.Wa
ngempeleka Nyetanyahu kwanza anaefanya mauaji ya kimbari..
ICJ ina vigezo vyake vya kufungua kesi, sio umeibiwa kuku na jirani yako halafu unaenda ICJ, utachekwa .
Kwenye swala la kupiga kura wananchi hawana habar na hilo jambo kabisaaa maana nimeona kwenye serikali za mitaa wananchi wamejiandikisha 600 walio jitokeza kupiga kura kihalali ni 90, hizo 510 wamejaza wasimamizi wa vitu, hili nina ushahidi nalo kabisa.Mwisho wake sisi wananchi tutaenda kupiga kura, na hakuna wa kutuzuia kutumia haki yetu ya kikatiba. Wasiotaka kushiki uchaguzi wakae nyumbani. Wasije wakarogwa kujaribu kutufanyia fujo.
Disqualified maana yake nini ?na ni nini kinasababisha CDM kiwe disqualified mkuu?Sijajua mwisho wake nini Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi ,CHADEMA pekee inasema no reform no election.
Kibaya zaidi CHADEMA iko disquualified kushiriki uchaguzi.lakini wanaendelea na campain yao kwamba no reform no election.kwa maana hiyo siku tume huru ya uchaguzi itakapotangaza tarehe ya kapeni za uchaguzi chadema watafanya nini? vurugu? watazuia watu kwenda kupiga kura?
We need to sit down kuelewa mstakanbali wa taifa letu .hapo mbele kuna hataari ya vurugu kama za Kenya.ni vyema CHADEMA iitwe na msajili wa vyama vya siasa wapigwe marufuku kuendelea na kampain yao ya no reform no elections,au utafutwe mwafaka wa jambo hili kabla ya damu kumwagika.
Solution nyengine kama hizo mbili hazifai ,basi serikali ipi marufuku mikutano ya vyama vya siasa mpaka tarehe ya kuanza kampeni za uchaguzi ,na chadema au chama ambacho kiko disqualified kisipewe kibari cha mikutano yoyote mpaka baada ya uchaguzi
The solution would be : njoo usaini kanuni za uchaguzi ,kama hutaki kwanzia sasa hutapewa kibari chochote cha mikutano ya kisiasa .
Mtu anizui kwendavkupiga kura siku hiyo tutagawana majengo ya serikaliMwisho wake sisi wananchi tutaenda kupiga kura, na hakuna wa kutuzuia kutumia haki yetu ya kikatiba. Wasiotaka kushiki uchaguzi wakae nyumbani. Wasije wakarogwa kujaribu kutufanyia fujo.
Huku nilipo watu wamejiandaa kupiga kura.Ukiwaambia hata kesho kutwa wako tayari.Kwenye swala la kupiga kura wananchi hawana habar na hilo jambo kabisaaa maana nimeona kwenye serikali za mitaa wananchi wamejiandikisha 600 walio jitokeza kupiga kura kihalali ni 90, hizo 510 wamejaza wasimamizi wa vitu, hili nina ushahidi nalo kabisa.
Kawadanganye wajinga wenzio hukooo, mimi siishi uturuki.Huku nilipo watu wamejiandaa kupiga kura.Ukiwaambia hata kesho kutwa wako tayari.
Wewe utakuwa mgeni kutoka sayari flani,ndo maana hujui, nenda ulikotoka,hapa duniani na Tanzania hapakufaiSijajua mwisho wake nini Maana CCM na vyama vingine vinasema tuanaendelea na uchaguzi ,CHADEMA pekee inasema no reform no election.
Kibaya zaidi CHADEMA iko disquualified kushiriki uchaguzi.lakini wanaendelea na campain yao kwamba no reform no election.kwa maana hiyo siku tume huru ya uchaguzi itakapotangaza tarehe ya kapeni za uchaguzi chadema watafanya nini? vurugu? watazuia watu kwenda kupiga kura?
We need to sit down kuelewa mstakanbali wa taifa letu .hapo mbele kuna hataari ya vurugu kama za Kenya.ni vyema CHADEMA iitwe na msajili wa vyama vya siasa wapigwe marufuku kuendelea na kampain yao ya no reform no elections,au utafutwe mwafaka wa jambo hili kabla ya damu kumwagika.
Solution nyengine kama hizo mbili hazifai ,basi serikali ipi marufuku mikutano ya vyama vya siasa mpaka tarehe ya kuanza kampeni za uchaguzi ,na chadema au chama ambacho kiko disqualified kisipewe kibari cha mikutano yoyote mpaka baada ya uchaguzi
The solution would be : njoo usaini kanuni za uchaguzi ,kama hutaki kwanzia sasa hutapewa kibari chochote cha mikutano ya kisiasa .
Kwa Putin msitegemee!kwani misaada inatoka ulaya tu?inaweza kutoka kwa putin ,uarabuni nk.
nafikiri tuangalie lilojema